Kuachana si uadui

Kuachana si uadui

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,565
Reaction score
1,918
Habari za wkend wakuu hongereni kwa kuchanjwa pia kukubali tozo ya kizalendo

Wakati nmemalza chuo nilianza kuishi na mdada ambaye tulimalza mwaka mmoja lakini vyuo tofauti
Tulifanikiwa kupata watoto wawili mmoja WA kike na WA pili WA kiume ( marehemu )

Kiukweli Dada nilimpenda sn ingawa yeye alikuwa kama ananitumia Tu ili kupunguza ugumu WA maisha chuoni Ila mpka kufikia kuishi Naye mama yake mzazi ndo alikuwa anamtulza bintiye

Tulianza vema Kila mtu akiwa anafanya kazi lakini naona kama kwa Miaka niliyoishi Naye mingi ilikuwa ya maumivu sn stasahau sina maana mi nataka kumsema vibaya mtoto WA watu hapana pengne ni mapungufu yetu sote.

Maana aliwahi kunitamkia zaidi ya mara moja lazma anifunge Tu na aliwahi kuniweka ndani kwa kesi ya uwongo eti nmempga na kumchana kwny mkono nililala ndani kesho yake nikaitwa na mpelelezi mkumbuke SKU hiyo mi skumpga Ila tulznguana akaanza kunitukana usku mzto mpk majiran wakaamka anatokwa na matusi kama yote bnafs skujibu kwani niliogopa nisje nikashkwa na hasira nikampga vibaya maana ndo lilikuwa lengo lake apate cha kunifungulia kesi

Akachomoka usku huo kaenda polisi kaandka kesi ya kupgwa na kuchanwa mkononi nililala ndani kesho yake kwa mpelelez mi nikasema aitwe aonyeshe kidonda hicho na form pf3 ambayo walimpa vyote hakuna hata kimoja

Wakamshauri afute kesi Tu maana inaweza kumgeukia niliporud nyumban nikajiandaa nikaenda kazn kuomba ruhusa ili nifanye mchakato tuachane nikaanze upya
Kweli tulikaa mezan tukakubaliana kuachana wakati huo mtoto mmoja alikuwa ameshafariki
Nakumbuka aliniambia hataki kuniona ye ni mzuri sn na anapendwa sn nisjdai najua sn kutmb wapo wanaojua hasa kwaiyo nisepe Tu mi skujibu

Kuhusu mtoto alisema nisithubutu KBS kumchukua Kwan nikifanya hivyo niwe nmemuwekea panga shingon nikasema poa
Niliondoka nikamuachia Kila kitu Zaid nilitoka na begi langu Tu
Mi nikajua sasa tumepunguziana stress na shobo Kila mtu afanye maisha yake eeeh kumbe nilijidanganya Yule mwanamke akaanzsha kampen maalum mpk Leo hiyo kampen anayo ingawa sasa ni miaka mitatu imepta toka tumeachana hata sjui anaishije sjui matumiz ya mtoto huwa nawatumia home wanapeleka.

Yule mwanamke ana kampen yake ya kutangaza Mimi nilimuua mtoto wangu nakumbuka kuna SKU hili Jambo niliwahi enda kwa mchungaji wake kulisema maana Yule mtoto alifariki kwa ugonjwa WA siko seli ilikuwa inamsumbua sn damu kuisha


Na cheti kipo cha kifo anacho
Kingine Yule mwanamke amekuwa na tabia ya kutafuta namba zangu akizpata ni fujo matusi na maneno mazto mazto akiombea nisfanikiwe na kuniombea mabaya yaani naweza kuta SMS hata 20 za matusi na kebehi ananitukania mpk wazazi wangu. Mkumbuke mi hata sjui anaishi wapi kwasasa sjui hata kama ana mshikaji ama vp Yani nilishafuta maana tulishashindwana kutokana na mapungufu yetu
Nikibadili namba utapita muda mrefu hajaipata bt ataingia kwny mitandao atachart na ndugu au rafiki zangu ataomba namba vurugu znaanza tena yaani imefkia kpnd hata stumii kbs simu yaani navunja SIM card nabaki sina simu Tu nikiitaji ingia kwny mitandao natumia pc Tu.
Bt mi nilishaoa mke mwngn na maisha yanaendelea sa sjui yeye aliyeniambia ye ni mzuri na anapendwa sn wapi watu wanajua kutomba kuliko Mimi sjui yeye upande huo.

Sasa wakuu huyu mwanamke kwa mtazamo wenu shida yake ni nini mpaka sasa au nifanyaje?

NB: simtaki wala staki hata kumuona na nilishaoa
 
Huyu wangu ameanza kushikiwa akili na mama ake na dada ake, soon nampiga chini shenzi zake
Hilo unalokutana nalo nmewahi likuta kwa rafiki yangu mkewe ni kama kwao hawajaamua kumuacha mtoto wao na kukubali kwamba sasa kasholewa yupo kwny familia nyngn si wao tena hata wakienda mahakamani kumdai
 
Mkuu usinitukane matusi mazto kama Hilo aisee ni Bora Tu niende jera au nirudi kwa Yule mwanamke kuliko kuwa CCM majizi ya taifa hili nimeweka hiyo logo Yao maana kuna lijinga limoja linaitwa kamanda asiyechoka limeweka logo ya CDM kutwa nzima n kukashifu mbowe na CDM na nikaona usiwe issue nikatupia hiyo yao
Shida ni wewe. Sababu unajihusisha na CCM.
 
Hilo unalokutana nalo nmewahi likuta kwa rafiki yangu mkewe ni kama kwao hawajaamua kumuacha mtoto wao na kukubali kwamba sasa kasholewa yupo kwny familia nyngn si wao tena hata wakienda mahakamani kumdai
Yaani acha tu mkuu, hawa wanawake hawa
 
Mkuu unamaanisha nn kwamba shida ni kitombo changu ndo kinamletea shida? Na aliowapata hawampgi ukuni vizuri au kiukweli nilikuwa nampga mbupu hatari alikuwa anakojoa mpk analala kama kapgwa busu kaputi
Mi nimesoma hapo mahali umesisitiza kuwa...

Unajua kutoombaaa.....!

Mengine mtajuana wenyewe
 
Back
Top Bottom