Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Eti wakuu? Kuachia ushuzi mara kwa mara ni tatizo au dalili ya tatizo la kiafya?
Tusemezane
Tusemezane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii isubiri Janabi Special ForumEti wakuu? Kuachia ushuzi mara kwa mara ni tatizo au dalili ya tatizo la kiafya?
Tusemezane
Eti wakuu? Kuachia ushuzi mara kwa mara ni tatizo au dalili ya tatizo la kiafya?
Tusemezane
Hiyo ni dalili ya kuongezeka uzito.Eti wakuu? Kuachia ushuzi mara kwa mara ni tatizo au dalili ya tatizo la kiafya?
Tusemezane
daah afadhali mkuuHiyo ni dalili kuwa mfumo wako wa umeng'enyaji unafanya kazi sawia. So mkuu upo salama.
Marinda yako hayajakuwa compromised? Tuanzie hapo kwanza!Eti wakuu? Kuachia ushuzi mara kwa mara ni tatizo au dalili ya tatizo la kiafya?
Tusemezane