Kuachia ushuzi mara kwa mara ni tatizo au dalili ya tatizo la kiafya?

Kuachia ushuzi mara kwa mara ni tatizo au dalili ya tatizo la kiafya?

Eti wakuu? Kuachia ushuzi mara kwa mara ni tatizo au dalili ya tatizo la kiafya?

Tusemezane
Nicheki kwa msada na ushauri zaidi 0744312003..Pole kwa changamoto : inaweza kuwa ulcers,hernia au flatulence .Passing gas kwa binadamu ni kawaida ila ikizidi Sana Hilo mi tatizo
 
Back
Top Bottom