Kuachishwa kazi

Umeanza kuwa na lugha ya staha! Hivi tunaita Kingereza au Kiingereza?
Irabu zinapongozana kwenye neno moja huwa linayeyushwa na ndio maana tunatamka Kingereza badala ya Kiingereza (hapo tayari irabu "i" zimeongozana)
 
NOTED, hii ni kwa Kiswahili tu nadhani???
Ni kwa kiswahili mfano ualimu...tukija kwa yule anaefundisha hatusemi mualimu ....tunasema mwalimu...nilikutana na jamaa alinipiga shule tu kwenye mazungumzo ya kawaida ila sio mtaalamu wa lugha kivile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…