Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Irabu zinapongozana kwenye neno moja huwa linayeyushwa na ndio maana tunatamka Kingereza badala ya Kiingereza (hapo tayari irabu "i" zimeongozana)Umeanza kuwa na lugha ya staha! Hivi tunaita Kingereza au Kiingereza?