kuachishwa kazi

kuachishwa kazi

Mrekebishaji

Senior Member
Joined
Mar 19, 2009
Posts
168
Reaction score
63
Naomba kuuliza, je mtu akiachiswha kazi kwa kigezo kuwa shirika linafnya re-structuring na umefanya kazi na hao watu kwa miaka 3 hivi,je unastahii malipo ya namna gani. msaada wenu tafadhali​
 
Kwa ujumla mwajili anapaswa afate taratibu zote kama zilivyoainishwa katika sheria ya Employment and labour ralation Act s.38 na mwajiliwa atalipwa kwa kindi chote kile kilichokua kimesalia katika mkataba wake
N.B hii ni kwa mfanyakazi mwenye mkataba aina za mikataba zinapatikana S.14

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom