Amini usiamini lakini watanzania wa sasa hawaishi kwa kuiamini CCM tena wewe ukiona majungu bakia hivyo hivyo lakini wengine wanaamini vinginevyo ni tofauti na zamani sasa watanzania wameamka hawakaririshwi Akili za wana CCM za zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM Taifa.
Haka katabia ka kudai jina Bandia huwa anako le mutuz lakini humu JF hatuna mda wa kuhangaika na jina la mtu ukiona mtu anahangaika na ID za JF ujue kaishiwa Hoja huyo, Tambua kuwa ushahidi upo wa Aina nyingi si lazima uletewe nyaraka humu kila kitu, huo ni usumbufu, jiongeze na utambue kuwa watanzania wengi wana Akili kubwa zaidi hawahangaiki kusaka ushahidi wanatumia Akili zao kujua kuwa kitendo cha Ndege kuachiwa lazima Mzungu kalipwa na wanajua kuwa lazima profeselii Kabudi atakuja na sinema ya kujimwambafy kuwa Ndege wameichukua bure, lakini vichwani mwa watanzania wajanja itabakia kuwa Ndege haikuachiwa bure wamemlipa mkulima wa kizungu ndipo Ndege ikaachiwa amini hivyo na kama hauamini endelea kuamini kukariri vya Kabudi hakuna wa kukuzuia upo huru kuamini ujisikiavyo wewe binafsi.Kwa hiyo unakubali huna ushahidi ni majungu. Yaani katika karne hii ya internet unataka kuwaaminisha Watanzania wote kwamba kuna 10% and then hata Canada wanaficha maamuzi kwenye mahakama zao? Are you serious?
Tukuamini wewe Minyoo na jina lako la bandia ooops (sijui ni Minyoo ya nini hii?) kwamba hata Balozi wa Canada aliyejitahidi kuongea Kiswahili amekula njama na Serikali ya JPM kuwahadaa Watanzania? Tafuta ushahidi mkuu utoe duku duku lako maana mkulima kesi imemshinda itabidi tu aongee vizuri ili alipwe maana Serikali hii imejinasibu kwamba ni tajiri.
Kwa kuna Aibu gani kusema mmemlipa? Ni mara mia kusema ukweli kuliko kuficha ficha mnazidi kujitia Aibu zaidi, hakuna ubaya kulipa Deni kwani dawa ya Deni ni kulipa full stop.Kwa hiyo unakubali huna ushahidi ni majungu. Yaani katika karne hii ya internet unataka kuwaaminisha Watanzania wote kwamba kuna 10% and then hata Canada wanaficha maamuzi kwenye mahakama zao? Are you serious?
Tukuamini wewe Minyoo na jina lako la bandia ooops (sijui ni Minyoo ya nini hii?) kwamba hata Balozi wa Canada aliyejitahidi kuongea Kiswahili amekula njama na Serikali ya JPM kuwahadaa Watanzania? Tafuta ushahidi mkuu utoe duku duku lako maana mkulima kesi imemshinda itabidi tu aongee vizuri ili alipwe maana Serikali hii imejinasibu kwamba ni tajiri.
Nimependa sana jibu lako.Hawezi USA siyo mwanachama wa hiyo takataka ya British commonfuckingwealth!
watajibu hawa wana ccm, kazi kupayuka tu, wamelipa kaburuTumelipa, tumesamehewa au tumeshinda kesi? Naomba majibu
asante sana, shida ya watz wengi ni uelewa mdogo hawajui kuhoji mambo muhimuTuwekee proof by the Court's verdict kuwa mkulima hajalipwa na asingelipwa kuna watu wana mapepo wangetamba vibaya. Otherwise, acha umbeya wewe dada. Believe me, hiyo ndege tumeinunua ×2.
Hata kama tungelipa Rais wetu hakusababisha hayo. Ni mkwere wako ndiyo aliyaacha hayo yote yatokee. Sijui aliupataje pataje uongozi, haki ya mungu sielewi. Alikuwa yuko yuko tu. Alifikiri kuongoza nchi ni kuzikana na kula Bata mda wote na kujipendekeza kwingi kwa wasanii uchwara.
Haaaaaaaaaaaa huyu mkulima kiboko ya jiwe na wanaccm wenzakeView attachment 1290856
Mkulima akizihesabu na kuzihakikisha huko Canada
Kukujibu zu swali lako la kwanza; kama ulimsikiliza vizuri Balozi wa Canada nchini Tanzania katika hotuba yake wakati ndege inapokelewa, nafikiri utakuwa umesha pata jibu unalo litafuta.Ni jambo jema sana ndege yetu kuachiwa maana hiyo ndege ilinunuliwa na kodi za watanzania na si za kiongozi yeyote hata huyo Kabudi.
Kwenye hiyo kesi kuna mambo mawili ya kuambiwa:
1: Kesi himefanyika ndani ya siku hizo na hukumu kutolewa? Je hiyo hukumu, tumeshinda/wamekubaliana kulipa au tumesamehewa?
2: tuambiwe kama tulishindwa hiyo kesi lakini kwa sabau tulikuwa na pesa, basi tukalipa.
Umenitisha ulivyosema precedence tu na ndio nimeamini kwamba MKULIMA kashavuta chake.Ndugu zangu,
Takribani majuma mawili yaliyopita Waziri wa Mambo ya nje Prof.Palamaganda Kabudi aliutaarifu Umma kutokea Dodoma siku ambayo Rais Magufuli alikuwa na kazi ya kikatiba kuwaapisha mabalozi wetu.
Prof.Kabudi alimuelezea rais huku akieleza jinsi ambavyo wananchi wa Tanzania watauchukua ushindi dhidi ya kaburu Stein kwa mara nyingine baada ya ''kumcharaza'' katika mahakama ya Gauteng kule bondeni (Afrika ya kusini).
Aliyekuwa wa kwanza kubeza ni Ndugu Membe huku akiaminisha umma kuwa Prof.Kabudi hatafanikiwa, akishauri kuwa njia pekee ni kumuita mkulima Stein kwenye meza na ''kumlipa chake. Ajizi nyumba ya njaa naye Tundu Lissu na Fatuma Karume wakauvagaa mkenge huku akiwa hawana uzoefu wowote na mashauri katika korti ya kimataifa, walijaribu kuwaapooza wafuasi wao ambao walikuwa wenye hasira nyingi baada ya kushauriwa vibaya kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Bila kuchelewa, wafuasi wa CHADEMA na wanasiasa hao wakaivagaa mitandao huku wakionesha dharau kwa Prof.Kabudi na Watanzania, wakisema Mkulima Stein ni ''kiboko'' wakiowanukuu Lissu,Fatuma na Membe.
Wanasheria wetu wazalendo walinyamaza kimya huku wakiandaa hoja za kumshinda ''Mkulima Stein'' kortini. Kwa hoja zilizotolewa kortini hatimaye siku mbili zilizopita Mahakama ya Canada iliipa Tanzania ushindi kwa mara nyingine tena huku ikiweka ''precedence'' kwa siku zijazo.
Nimalize tu kwa kusema, Hongereni wananchi wazalendo wa Tanzania, Mmeshinda tena!
Hao vijana ni wabishi sanaweka risiti hapa tuione..vinginevyo hizo bati utakuwa umemwomba asikupe risiti ili ukwepe.kodi unadhani hatujui..weka risiti hapa tuthibitishe..
Mbona unarudia kommentiert hiyo hiyo tena?Mzungu kalipwa kimya kimya kaombwa akae kimya maana kabudi anajua Siri ikivuja atakosa kujimwambafy kama kawaida yake
mungu yupi? ni kawaida sana shetani kujifanya malaika wa nuru. ameuliza kinafiki? kilaza akishindwa kujibu usema swali halijakaa sawa? tumeshinda au tumelipa? na hapa hakuna kushinda tuliishashindwa long na kuanza kulipa. alipoingia chizi mabavu kalikoroga. aibu juu ya aibu!Unauliza kinafiki mahasimu wakubwa nyie
Kesho mtajua majibu yenu pale mwanza
Sikuzote Shetani hawezi shinda nguvu za mungu
Poleni
Mkulima kashinda.Tumelipa, tumesamehewa au tumeshinda kesi? Naomba majibu
Mbona umechukia hivi?mungu yupi? ni kawaida sana shetani kujifanya malaika wa nuru. ameuliza kinafiki? kilaza akishindwa kujibu usema swali halijakaa sawa? tumeshinda au tumelipa? na hapa hakuna kushinda tuliishashindwa long na kuanza kulipa. alipoingia chizi mabavu kalikoroga. aibu juu ya aibu!
Ndege haikuachiwa bure wamelipa kisha wakamuomba mkulima wa kizungu apige kimya ili profeselii Kabudi apate kujimwambafy huko mwanza kuficha Aibu yao.mungu yupi? ni kawaida sana shetani kujifanya malaika wa nuru. ameuliza kinafiki? kilaza akishindwa kujibu usema swali halijakaa sawa? tumeshinda au tumelipa? na hapa hakuna kushinda tuliishashindwa long na kuanza kulipa. alipoingia chizi mabavu kalikoroga. aibu juu ya aibu!