Chai ya saa kumi
Senior Member
- Jul 12, 2023
- 141
- 180
We bado mgeni mjini kumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo?Wakuu asiwaambie mtu kuachwa kunauma💔💔 vibaya.
usipuuzweTafuta hela, mwanaume haachwi anaacha
Rayvan anahela kumzidi marioo na kaachwa mapenzi hayana pesa wala niniTafuta hela, mwanaume haachwi anaacha
Tena pisi yenyewe ikiwa ni pisi kali,kitumbua mnato,viuno feni,Maumivu yake hayaelezeki mkuu,hasa pale unapowaza anatawanywa na mwingine.
😃Haha pole sana inauma balaa mm sikuachwa lakini niliona hakuna future japo nilikuwa ninependa lakini maumivu yake kiboko imagine mtu akuache 😀😀😀kunywa peps baridi kijana yataisha tu
Vijana wa hovyo! Unakimbilia mapenzi kwenye Mji wa kutafuta pesa! Unafanya vitu kinyume nyume, stop chasing after girls start attracting them! Tafuta pesa!
mkuu bora tukae kimya tuRayvan anahela kumzidi marioo na kaachwa mapenzi hayana pesa wala nini
Yani mtu akwambie sikutaki nafikir inauma Zaid x boyfriend hakuwah nambia hivo tulipishana tu Mimi nikaamua kuachia ngazi lakini iliniuma balaa 😀😀 nilijikaza tu😃
Lakini hajafafanua kuachwa vipi?
Pole sana huwezi kuifikia furaha ya kweli bila maumivu 😃😃😃😃Yani mtu akwambie sikutaki nafikir inauma Zaid x boyfriend hakuwah nambia hivo tulipishana tu Mimi nikaamua kuachia ngazi lakini iliniuma balaa 😀😀 nilijikaza tu
Kwanza, nikupe pole sana!Wakuu asiwaambie mtu kuachwa kunauma💔💔 vibaya.
point marked mkuuKwanza, nikupe pole sana!
Pili, ujue kuwa akuachae hajawahi kupatana nawe moyoni ili kuwa nawe kwa umoja. Kwahiyo hajakuacha kwasababu hajawahi kuwa nawe! Mlikuwa tu pamoja kama ambavyo abiria tunakuwa pamoja kwenye basi lakini kila mtu na lwake.
Kama wewe ni mwanaume pengine ulidhani umemwoa kumbe ni vitu vyako au mali zako ndizo zilizomwoa! Huyo alikuja kuishi na mali zako, siyo kuishi nawe. Kapata mali zingine bora au nyingi zaidi kuliko zako. Ni vivyo hivyo hutokea kama wewe ni mwanamke.
Tatu, yawezekana wewe ndiye uliyemwacha, baadaye umegundua umuhimu wake na unaumia kukosa uwepo wake. Pengine kakimbia ukatili wako kwake. Huenda anakupenda sana lakini hapendi ukatili wako.
Mwombe msamaha ulipokosea na msamehe alipokosea yeye. Hakuna mwanaume au mwanamke aliyekamilika. Anza mwanzo mpya, maisha yaendelee!
hahahahahahahaha!!Nipo singooo nainjoy,
Nipo singooo nainjoy,
Nikitakaa kwenda kitambaa cheupe,
Naenda naparty mpaka asubuhi.
Pole!
Weka hiyo nyimbo ya lavalava itakuliwaza.