Kuachwa kunauma vibaya

Haha pole sana inauma balaa mm sikuachwa lakini niliona hakuna future japo nilikuwa ninependa lakini maumivu yake kiboko imagine mtu akuache πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kunywa peps baridi kijana yataisha tu
 
Haha pole sana inauma balaa mm sikuachwa lakini niliona hakuna future japo nilikuwa ninependa lakini maumivu yake kiboko imagine mtu akuache πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kunywa peps baridi kijana yataisha tu
πŸ˜ƒ
Lakini hajafafanua kuachwa vipi?
 
Wakuu asiwaambie mtu kuachwa kunaumaπŸ’”πŸ’” vibaya.
Kwanza, nikupe pole sana!

Pili, ujue kuwa akuachae hajawahi kupatana nawe moyoni ili kuwa nawe kwa umoja. Kwahiyo hajakuacha kwasababu hajawahi kuwa nawe! Mlikuwa tu pamoja kama ambavyo abiria tunakuwa pamoja kwenye basi lakini kila mtu na lwake.

Kama wewe ni mwanaume pengine ulidhani umemwoa kumbe ni vitu vyako au mali zako ndizo zilizomwoa! Huyo alikuja kuishi na mali zako, siyo kuishi nawe. Kapata mali zingine bora au nyingi zaidi kuliko zako. Ni vivyo hivyo hutokea kama wewe ni mwanamke.

Tatu, yawezekana wewe ndiye uliyemwacha, baadaye umegundua umuhimu wake na unaumia kukosa uwepo wake. Pengine kakimbia ukatili wako kwake. Huenda anakupenda sana lakini hapendi ukatili wako.

Mwombe msamaha ulipokosea na msamehe alipokosea yeye. Hakuna mwanaume au mwanamke aliyekamilika. Anza mwanzo mpya, maisha yaendelee!
 
point marked mkuu
 
Nipo singooo nainjoy,
Nipo singooo nainjoy,
Nikitakaa kwenda kitambaa cheupe,
Naenda naparty mpaka asubuhi.

Pole!

Weka hiyo nyimbo ya lavalava itakuliwaza.
 
Nipo singooo nainjoy,
Nipo singooo nainjoy,
Nikitakaa kwenda kitambaa cheupe,
Naenda naparty mpaka asubuhi.

Pole!

Weka hiyo nyimbo ya lavalava itakuliwaza.
hahahahahahahaha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…