Kuachwa kwa Icard, chanzo ni Messi au Lopez?

Ni hatari sana mchezaji mmoja kuwa na sauti kwenye timu,Haileti afya kabisa na inashusha ushirikiano kati ya wachezaji wawapo uwanjani.Moja ya vitu ambavyo makocha wanaojitambua hawavitaki ni hivi,huwezi kuta kocha anajitambua na kujiamini anaacha huu ujinga.Refer Sir Alex fergy kipindi akiifundisha Man utd,wachezaji wote walikuwa sawa na walikuwa na heshima kweli kweli,nje na ndani ya uwanja.Ulileta ulevi ulevi wako huko Bar mitaani,ukija unaitwa na kupigwa warning,mwenyewe unatulia,CR7 mwenyewe anasema Babu Fergy alikuwa anaogopeka sana,hasa pale ukifanya kosa la kijinga uwanjani.Kocha unatakiwa kuwa tough kweli kweli,mbali na mbinu za ufundishaji.
 
Jamani hata ukiwa kocha kuna shida kubwa kuchangua kikosi cha ushambuliaji kwa pale Argentina. Kuchwa kwa Icard inawezekana ni kwa sababu ya mfumo ambao kocha ameamua kwenda kuutumia
Icard ni mfungaji mzri lakini si mchezeshaji timu, we angalia hao washambuliaji aliowachukua wanafunga afu wanatoa assist nyingi. Ko ameona achukue washambuliaji wenye option nyingi
 
mkuu mbon mechi na Ecuador walicheza wote 2??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…