Kwa umri wa 32 si mzee Fidel. Vijana hawaumii zaidi?? sababu damu inachemka sana na anajua atapata mwingine
hahahahahaa! mchumba std 7? we kiboko.Mi niliumia saaaaaaaaana wakati namaliza darasa la 7 tajiri mmoja alinipindua mchumba wangu tokea hapo aaah nimekuwa sugu
Sasa hapa ndo linakuja lile swala la Ukiachwa:Mimi sijawahi kuacha wala kuachwa.
Ila nahisi ukiachwa wakati umri ushaenda ni maumivu zaidi maana inapofikia umri fulani utahitaji kuwa na familia (mume/mke + watoto), inapotokea unaachwa kabla hujatimiza malengo unaumia zaidi lakini ukiachwa wakati umri bado tunaexpect tutapata wapenzi wengine yaani nafasi na muda bado upo.
......homu boi bana!
Kuna swala la kuumia zaidi (ukubwa wa maumivu) Vs muda wa kuumia (maumivu endelevu..if you like). Kuna uwezekano mkubwa katika mfano wa kwanza (haijalishi umri) kwa kuwa ulikuwa mwaminifu kwa kipindi cha miaka 3, na mapenzi yenu hayakujengwa kwenye vitu wala tam tam, na ukweli kwamba binti aliondoka bila sababu na juhudi za kufahamu sababu zilishindikana. basi maumivu yatakuwa MAKALI na ENDELEVU na yasio-SAHAULIKA kirahisi. Kwa maan nyingine.......you will live to tell that story (kama ulivyodhihirisha hapa jf leo baada ya 7 years kupita:smile-big::smile-big🙂
Kwa upande mwingine........ukiwa ankal kama Asprin, unaweza kuumia sana kwa muda mfupi kutegemeana na malengo uliyokuwa nayo na that partner of yours. Katika umri huo, ni wanaume wachache sana wanaotaka kuwa na gal friend tu hviv hivi bila kuwa/au kuanza kufikiri is she a compatible partner? Sasa kama dada akichapa lapa........ankal katika umri huo ni rahisi sana kuumia sana na ndani ya mwezi mmoja akapata replacement. Kumbuka umri ni muhimu sana hapa.........kijana wa 22 hawezi kupata replacement fasta fasta kwa minajili ya consolation ....CONSOLATION INAONDOA MAUMIVU......na consolation huwa zinatoka kwa back-up au X.......sasa kinaja wa 22 anaweza kuwa na back up? au akawa na X wa maana kiivo? jibu ni hapana.
Nawasilisha.
Nikiangalia mtiririko wa hii sredi nimegundua kitu kimoja...
Umri una mata......na Jinsia nayo ina mata!
Mwanamke wa miaka 32 years akiachwa, si sawa na mwanaume wa miaka 32 akiachwa.
Mwanamke wa miaka 22 akiachwa si sawa na mwanaume wa miaka 22 akiachwa
Sijui mmenielewa?
Endeleeni kujadili, babu atakonkludi.
Sasa hapa ndo linakuja lile swala la Ukiachwa:
ukiwa 22 kama ni mwanamke maumivu yanakuwa tofauti na kama 32
Ukiwa 22 kama ni mwanume maumivu yanakuwa tofauti na kama upo 32.
There for:
22yrs M = maumivu sanaaaa
22yrs F =maumivu kidogo
32yrs M = maumivu kidogooo
32yrs F = maumivu sanaaaa
Hence:
32yrs M goes to 22yrs F and,
32yrsF goes to 22yrs M.
ha ha ha ha ha!Sasa hapa ndo linakuja lile swala la Ukiachwa:
ukiwa 22 kama ni mwanamke maumivu yanakuwa tofauti na kama 32
Ukiwa 22 kama ni mwanume maumivu yanakuwa tofauti na kama upo 32.
There for:
22yrs M = maumivu sanaaaa
22yrs F =maumivu kidogo
32yrs M = maumivu kidogooo
32yrs F = maumivu sanaaaa
Hence:
32yrs M goes to 22yrs F and,
32yrsF goes to 22yrs M.
hahahahahaa! mchumba std 7? we kiboko.
Ebwaneeee nilimpenda yule dada balaa dah alinitesa mwaka mzima namuota yeye tu
Inaonekana ulifika darasa la saba ukiwa ushoata nywele....
Hapa ngoja ningalia kwa mtizamo wa kidunia na kimbigu
Kidunia!22
Kwa mwanaume/ mwanamke maumivu ni yale yale yanayoumiza na kukuacha ukitafakari mengi ingawa baada ya muda wote watasau na huku kila mmoja akiamini umri bado unaruhusu na uwezo wa kumpata mwingine atakayempenda kwa dhati na kuanza maisha mapya pia ndoto zote alizokuwa nazo bado zikaendelea kuwepo pasipo pingamizi la aina yoyote
Kidunia!32
Kwa mwanaume:-
Mwanaume ataumia sana na kuona kama amepoteza muda mwingi na umri unakimbia lakini bado anauweza wa kutafuta mwanamke anayempenda na wa umri wowote kwake na kummiliki pia hata kutimiza ndoto zake zooote alizopanga katika maisha bila vikwazo ,
Kwa mwanamke:-
Ooops Kwa mwanamke ataumia saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana na sana kwa sababu akianza kuhesabu umri umeenda ataanza kukata tamaa kama kweli atakuja kumpata mwenza wa ndoto zake atakayetimiza matarajio yake ,
Mwanamke atanyong'onyea na kuwa mwingi wa mawazo huku akiamini sasa itabidi aanze kucheza pata potea
Na ndio maana wengine hujikuta wamejitumbukiza katika mahusiano yasiyo mazuri na kuanza ku-regret baadae kisa tu anaona umri unaenda na mambo hayaeleweki
Na inatokea wengine wanaamua kuzaa tu huku matumaini yanaendelea kufifia:A S 39:
Upande wa kimungu katika imani zaidi
Miaka 22 /32 (mwanaume na mwanamke)
Kumweka mungu kwanza asimamie maisha yako na kuamini kila jambo linawezekana kwake na kujua kuwa kila jambo huwa linatokea kwa sababu maalum
Itakupa faraja ya kuendelea kuishi kwa amani na huku ukiamini mwenyezi mungu ana makusudi makuu na maisha yako kama amekuumba ni yeye mwenye jukumu la kukutimizia mahitaji yako yote ya kiroho na kimwili
*Kwani alisema niite nami nitakuitikia nami nitakuonyesha mambo makubwa na magumu usiyoyajua*
Hivyo basi hutakiwa kukata Tamaa zaidi ni kuomba na kushukuru ukijua moyoni mwako yupo mwenyezi mungu aliyemuweka maalumu kwa ajili yako,Na hasa ukijua duniani kuna mapito na hiyo ni mojawapo ya mapito katika maisha yako haijalishi uko 22,32,42 ,nk nk
Amen
ha ha ha ha ha!
i hereby reserve my comments kwakuwa zinatofautiana sana na zako.....!
your judgement is still invalid so far
hehehe!
hommie kale kahiinza ka-mdandu kale ambako ndo ulijifunza nako usanii huo assume umekaa nako miaka sita halafu umewekeza kila kitu hapo kakikumwaga at your 22,niaje?
Mi niliumia saaaaaaaaana wakati namaliza darasa la 7 tajiri mmoja alinipindua mchumba wangu tokea hapo aaah nimekuwa sugu
hahahahahaaa!!ha ha ha ha ha!
i hereby reserve my comments kwakuwa zinatofautiana sana na zako.....!
your judgement is still invalid so far
loud and clear!...Hapa ngoja ningalia kwa mtizamo wa kidunia na kimbigu