Kuachwa...

pole sana mom, umesema kwa huzuni kweli...pole sana.
 
nitendee haki basi na wewe acha visingizio bana!!!!

Kamepotea bana. lakini ngoja nikafanye manually:

The Following User Says Thank You to bht For This Useful Post:
Chrispin (Today)
 
kweli maisha ya ndoa ni magumu, yataka uvumilivu, utaahira na hata ukichaa kuyakabili kwa upande mwingine ni mazuri
 
Invisibo mi sijamkosea kitu ashangaa kwa nini ananitendea haya......

unaona sasa Mom analia kwa sababu ya nyie 'wavulana'
 
mbona hata mi ckaoni cku hz mwenyekuelewa jinsi ya kukarudisha anieleweshe pse maana nashindwa kuwathanks watu, japo napenda
 
Foleni ya wahanga inaendelea. Pole sana mom. Sasa baada ya kuachwa unapumzishaje munkari ukikupanda?

hhahha Chrispo wewe ni impossible .... But I think the best way to get over someone is to get under someone else:target:
 
yaani hapo kwenye ukichaa ndipo pananifanya mpaka sasa nipo kwenye hii ndoa....lakini mom pole inaonekana uliumizwa kikweli kweli...
 
Haka kadude nisipogongewa huwa nikila sishibagi kabisa>>>>

@Mom, dawa ya moto ni moto. Nawe tafuta wako ujifunzie kutosa.
 
hhahha Chrispo wewe ni impossible .... But I think the best way to get over someone is to get under someone else:target:
wewee wewe Noname una hatari wewe duh!!!
 
yaani hapo kwenye ukichaa ndipo pananifanya mpaka sasa nipo kwenye hii ndoa....lakini mom pole inaonekana uliumizwa kikweli kweli...
Mamii nadhani ni ukichaa hasa maana leo nilikuwa nasikiliza redio mdada mmoja aliamua kumsaka mwizi wa mume wake alipomkuta hayo mahojiano sasa nimejikuta nacheka mwenyewe- eti we ndo unanifanya nikose haki yangu; mwenyewe nilishazoea akirudi napata, usiku napata na asubuhi napata sasa sipewi pengine hata wiki nakwambia utanitambua ah yaani acha tu ni kweli inabidi uwe kichaa- mimi kwa sasa naombeni tu nhalf time!!
 
Foleni ya wahanga inaendelea. Pole sana mom. Sasa baada ya kuachwa unapumzishaje munkari ukikupanda?

matesha hajambo lakini? mi ckuachwa bali nilitendwa na yale ya wanaume wakichaga mke ndani lazima na bi mdogo nje haachwi!
 
hhahha Chrispo wewe ni impossible .... But I think the best way to get over someone is to get under someone else:target:

Hahahahahaha! Noname bana. Hivi unajua nilivokumisi?
 
yaani hapo kwenye ukichaa ndipo pananifanya mpaka sasa nipo kwenye hii ndoa....lakini mom pole inaonekana uliumizwa kikweli kweli...

niliumizwa si kidogo N! usiombee mumeo akutane na dasophy akipigiwa cm hata ****** ataenda ili akaongee atakayo, akija kashiba na ni ucku wa manane, ana gari lakni mtoto hosp utatumiwa tax umpeleke acha tu shost!
 
matesha hajambo lakini? mi ckuachwa bali nilitendwa na yale ya wanaume wakichaga mke ndani lazima na bi mdogo nje haachwi!

wanaume wote wanatenda, haijalishi kabila mom.
 
matesha hajambo lakini? mi ckuachwa bali nilitendwa na yale ya wanaume wakichaga mke ndani lazima na bi mdogo nje haachwi!
Matesha yuko safi. Asee lisije likatokea lijitu likanichukulia matesha wangu afu likamtosa. Ntazaa nalo aseee!

Unajua wachaga huwa wanadumisha mila na desturi za mababu na mabibi zetu zetu. Nyie mnaozipuuzia ndiyo mnaumia kwa vitu vidogo kama kuachwa. Vumilia maisha yake, utakula vya kwake.
 
niliumizwa si kidogo N! usiombee mumeo akutane na dasophy akipigiwa cm hata ****** ataenda ili akaongee atakayo, akija kashiba na ni ucku wa manane, ana gari lakni mtoto hosp utatumiwa tax umpeleke acha tu shost!

jamani pole, mbona haukuwa chizi kivile...yaani umpeleke na taxi kwani c umuache alale u drive mwenyewe....haa bwana mom
 
kwahiyo nawe umo? walah nikimuona matesha namwambia ckubal aliwe vyake wakati naona!
 
heee, jamani wanaume watatutoa roho hawa...lakini ktk vi2 ambavyo ctavifanya ni kumfata hawara, nita deal na mr mpaka kieleweke, labda yeye aanze zile za kiswahili kunitumia sms/ku cal hapo ndio ataujua wazimu wa kichaga, na bwana atamkosa...bht unaona game linavyoenda?
 
eti bwana kwann umfuate hawara? ye si mwizi, mwizi wako ni mr alieenda kutongoza hali anajau ana mke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…