Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Ni ngumu may b kama kuachwa, naweza kiri mi nilishindwa na nikakonda kama mgonjwa aliekosa lishe! wanaume waacheni tu, niliumia nikiwaza watoto watapata malezi ya upande mmoja, baada ya akili kuanza kunirudi nikaamua if u've something u love set it free if it comes back its urs if itdoesnt never was it! nikatafuta kazi mbali na nikaham nyumba kwa kisingizio cha kazi, na mawasiliano nikakata labda huyo dasophy aliamua kumwacha cjui ni long story bt nilikuja samehe bt ctasahau na siombei yampate mwanamke yeyote
pole sana mom, umesema kwa huzuni kweli...pole sana.