Ni Jukwaa pendwa na watu wengi sana. Watumiaji wa kiswahili, lakini pia kiingereza.
Nimeanzisha uzi huu ili kupata maoni ya wanaJF kuhusu ambavyo jukwaa hili pendwa lilivyochangia kukuza kiswahili nchini, nje ya mipaka ya nchi na duniani kwa ujumla.
Karibuni kuchangia.