Kuaga kwa Ngasa Yanga tusikate tamaa

Kuaga kwa Ngasa Yanga tusikate tamaa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Jana nilimsikia. dogo ngasa akiagarasmi atokuwa na Yanga amepaatatimu
Saazayanga kujipanga kuamin bila ngasa tunaweza
 
tunamtakia kila la geri huko aendako...tutamkubuka ila pengo lake litazibika
 
Lazima tukubali kaitumikia Yanga vya kutosha. Na bado anaweza kuja kumalizia mpira wake Yanga angalau msimu mmoja.

All the best Ngassa!
 
Kila la kheir Ngassa mungu akubarik huko uendako.
 
Back
Top Bottom