Oscar Wissa
Senior Member
- Sep 5, 2018
- 108
- 170
Katika kuagiza bidhaa China tuanzie mfano huu wa alibaba.
1-kwanza itabidi ufungue sanduku la posta katika tawi lolote lililo karibu na wewe
2-itabidi upate account ya benki na uwe unamiliki MasterCard au Visa card ya benki yoyote ile au mtandao wa simu yoyote ambao wanatoa huduma ya master card(ila ukipata master card lazima uombe benki wakupe form maalumu ujaze ili uweze kuruhusiwa kufanya manunuzi yako mtandaoni maana bila wao kuruhusu hivyo hutaweza kununua
3-ukishakamilisha hatua hizo mbili hapo juu kinachofuata ni ww sasa kufungua akaunti yako kwenye mtandao husika mf,alibaba ambapo utajaza taarifa zako kuanzia majina yako yote, namba ya simu(ianzie+255),kisha utaingiza nchi,mkoa,wilaya na sanduku lako la posta.
NB: Hapa chini kuwa makini sana zingatia haya
1-wauzaji wote wa alibaba ambao wanatambulika wana nembo kuu tatu.
A🙁trade assurance-ina nembo ya dhahabu) hii inakuhakikishia ulinzi wa fedha zako na mzigo wako wakati wote mzigo unapoweka order yako na pia hata ikitokea mzigo umefika halafu mbovu utafidiwa na pia mzigo usipofika kwa wakati maalumu pia utasaidiwa
B🙁onsite inspection-nembo ya blue) hii inadhihirisha kuwa muuzaji huyo anajulikana na alibaba kuwa ni muuzaji halisi kama hana nembo hii basi achana nae
C🙁experience certification-nembo ya njano) hii inaonesha product zake ziko legit kwa kuuzwa kwenye site ya alibaba muda mrefu.
Kama muuzaji hana nembo hizo 3 hapo juu usinunue utaishia kupoteza pesa zako na pia hata kama muuzaji ni legit kitu cha kwanza unatakiwa kuweka order yako kwa sample ndogo kwanza kisha ukiridhia ubora wake utaweka order kubwa.
NB: Malipo yanafanyika kupitia alibaba tu usije ukalipa nje ya alibaba utalizwa aisee. Nimeweka picha hapo chini ili muone alibaba kunafananaje.
NB: Gharama za usafirishaji inategemea na wewe unataka njia ipi na kila njia ina gharama zake mf express, aircargo, sea freight nk. Mzigo unachukua siku3-30 kulingana na wewe unalipia aina ipi ya usafirishaji.
Kama una swali uliza ila kwa leo/sasa tuishie hapo kwanza