dimple
Senior Member
- Dec 6, 2016
- 103
- 134
Habari zenu wapendwa, mimi hua natamani sana kuagiza bidhaa china kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kwa mfano nahitaji hizi vinyl wallpaper ili nibandike ktk makabati ya jikoni hapa Dar ni bei juu na rangi ninazotaka hakuna so ninataka kuagiza china ili niupokee either posta au kwa agent sasa nafanyaje muuzaji anitumie direct kwa posta au ampe agent mzigowangu niupokee kwa agent lets say silent ocean na seller
Nawaunganishaje, china wanavitu bei rahisi kwa mnaofahamu naombeni mnielekeze najikuta nanunua kupitia kikuu ambao vitu vyao ni bei kubwa sana
Nawaunganishaje, china wanavitu bei rahisi kwa mnaofahamu naombeni mnielekeze najikuta nanunua kupitia kikuu ambao vitu vyao ni bei kubwa sana