Kuagiza bidhaa China

Kuagiza bidhaa China

dimple

Senior Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
103
Reaction score
134
Habari zenu wapendwa, mimi hua natamani sana kuagiza bidhaa china kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kwa mfano nahitaji hizi vinyl wallpaper ili nibandike ktk makabati ya jikoni hapa Dar ni bei juu na rangi ninazotaka hakuna so ninataka kuagiza china ili niupokee either posta au kwa agent sasa nafanyaje muuzaji anitumie direct kwa posta au ampe agent mzigowangu niupokee kwa agent lets say silent ocean na seller

Nawaunganishaje, china wanavitu bei rahisi kwa mnaofahamu naombeni mnielekeze najikuta nanunua kupitia kikuu ambao vitu vyao ni bei kubwa sana
 
Ingia application ya Alibaba, fungua ID aou account. Kisha utaanza kuona sellers mbalimbali wa bidhaa mbalimbali hapo mtakuwa mnawasiliana ukitaka mzigo unauona kwa oicha unatuma hela na kuchagua namna ya kuupokea.

Kuna wauzaji wa jumla na wa rejareja na wanajinasibu kabisa kuwa kama utapata bidhaa ya jumla au ya rejareja. Ila Alibaba anatoa angalizo kuwa hakikisha supplier au muuzaji unayewasiliana nae anauwezo wa kutuma mzigo kutokana na mlipuko wa Covid kuepuka kulipa hela halafu ukasubiri miaka 6 au usipate mzigo kisa the pandemic disease covid.

All the best.
 
Mkuu agiza kupitia Aliexpress mzigo utakufikia Posta vizuri tu bila shida.
 
thanx

Back
Top Bottom