profesawaaganojipya JF-Expert Member Joined Apr 21, 2015 Posts 1,595 Reaction score 3,416 Nov 11, 2023 #1 Wadau nataka kununua kifaa cha umeme online china,chenye thamani kama laki mbili,ni supplier yupi ni wa uhakika,na je anasafirisha mpaka tz,msaada please,kifaa kinaitwa INSULATION RESISTANCE TESTER(MEGGER).
Wadau nataka kununua kifaa cha umeme online china,chenye thamani kama laki mbili,ni supplier yupi ni wa uhakika,na je anasafirisha mpaka tz,msaada please,kifaa kinaitwa INSULATION RESISTANCE TESTER(MEGGER).
Tape measure JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,981 Reaction score 3,604 Nov 11, 2023 #2 Mcheki Mwalimu rct