Kuagiza bidhaa nje ya nchi.

CoderM

Senior Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
102
Reaction score
291
Habari zenu wana JF.
Nahitaji kuagiza bidhaa nje ya nchi kupitia mitandao kama alibaba, aliexpress nk.
Je kuna mtu anafahamu utaratibu wa huo mzigo kukufikia hapa nyumban Tanzania.?
Na je kuna tozo la ziada baada ya bidhaa yangu kufika.
Ni machine inaitwa "vinly sticker cuter".
NB: bidhaa hii ni kwa matumizi yangu sio kwa ajili ya kuiuza.
 
Habari.

Pitia hii thread www.v.ht/buy4me

Kama utakuwa na swali zaidi andika kwenye hiyo thread.

Karibu
 
Mimi nimenunua machine kutoka China kupitia alibaba hapo ni makubaliano yenu baina yako na seller kuhusu usafiri na Mara nyingi wewe unaenunua ndo uchague njia sahihi na ya haraka. Mzigo ukifika utafanyiwa ukaguzi tra na utalipia kodi itakayo pigiwa from your purchasing risiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…