Kuagiza gari kutoka China kupitia Alibaba

Casmigo Dalali

New Member
Joined
Nov 4, 2021
Posts
2
Reaction score
5
Adje wakuu? Aliyewahi agiza gari china na ikafikaaa kupitia Alibaba.com anipatie mrejesho na utaratibu mzima mzima upoje, nipo kwenye mazungumzo ya mwisho na Muuzaji
 
Adje wakuu? Aliyewahi agiza gari china na ikafikaaa kupitia Alibaba.com anipatie mrejesho na utaratibu mzima mzima upoje, nipo kwenye mazungumzo ya mwisho na Muuzaji
Inawezekana kama ukiwa na mawasiliano na msafirishaji wako, nakushauri watumie SILENT OCEAN 🌊, Hawa watakuhakikishia gari hio inakaguliwa vzr, na inarekebishwa vzr, na kukusafirishia mpaka Tz, Hawa Simba WA bahari watakutana na campuni hio Kisha utalipia nao watachukua mzgo wako vzr na utawalipa hata ukiwa tayr mzgo ushafika nyumbani.
Kwa msaada zaidi njoo PM, mm nikuelekeze vyema au nenda mojakwamoja kwenye Silent oceanApp utapata msaada mkubwa mno.
 
Usije ukalipa pesa kabla msafirishaji hajakupa uhakika kua gar lipo.
Hawa silent ocean 🌊, wapo miji ya Guangzhou, Shangdon, saiv wanataka kuelekea pia mashariki ya china, hivo usiwe na wenge,
Kama upo Dar nenda mojakwamoja ofisi zao watukupa huduma nzuur.

Na kukuhakikishia mzgo utaupata lini.
 
Asante Mr, takutafuta kwa ufafanuzi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…