Casmigo Dalali
New Member
- Nov 4, 2021
- 2
- 5
Adje wakuu? Aliyewahi agiza gari china na ikafikaaa kupitia Alibaba.com anipatie mrejesho na utaratibu mzima mzima upoje, nipo kwenye mazungumzo ya mwisho na Muuzaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kama ukiwa na mawasiliano na msafirishaji wako, nakushauri watumie SILENT OCEAN 🌊, Hawa watakuhakikishia gari hio inakaguliwa vzr, na inarekebishwa vzr, na kukusafirishia mpaka Tz, Hawa Simba WA bahari watakutana na campuni hio Kisha utalipia nao watachukua mzgo wako vzr na utawalipa hata ukiwa tayr mzgo ushafika nyumbani.Adje wakuu? Aliyewahi agiza gari china na ikafikaaa kupitia Alibaba.com anipatie mrejesho na utaratibu mzima mzima upoje, nipo kwenye mazungumzo ya mwisho na Muuzaji
Asante Mr, takutafuta kwa ufafanuzi zaidiInawezekana kama ukiwa na mawasiliano na msafirishaji wako, nakushauri watumie SILENT OCEAN [emoji305], Hawa watakuhakikishia gari hio inakaguliwa vzr, na inarekebishwa vzr, na kukusafirishia mpaka Tz, Hawa Simba WA bahari watakutana na campuni hio Kisha utalipia nao watachukua mzgo wako vzr na utawalipa hata ukiwa tayr mzgo ushafika nyumbani.
Kwa msaada zaidi njoo PM, mm nikuelekeze vyema au nenda mojakwamoja kwenye Silent oceanApp utapata msaada mkubwa mno.