Vumilia mkuu kuna mwaka nilinunua kwa SBT gari ikakaa miezi mitatu wakati nimezoea miezi miwili tu Beforward nilianza kupanic lakini ilifikaNimeagiza gari kupitia hawa jamaa autocom japan week mbili sasa sijapata mrejesho kutoka kwao, na hivi hawana office hapa bongo basi nabaki kujifariji tu sijapigwa na kitu kizito mwaka huu lols
Ni kawaidaMkuu habari, ilikuchukua muda gani tangu ufanye malipo mpka gari yako kusafirishwa?
Mimi nimelipia gari week mbili sasa ila wamekua kimya wakisema nisubir ipatikane meli ya kusafirisha
Ukizoea kuagiza mwenyewe ni raha sana. Hawa makampuni wanachelewesha sanaHivi mtu yeyote anaweza kuagiza gari nje? Au mpaka upitie kwenye kampuni za watz
Hawa Trust Japane naona they are too cheap to be True.😅🤣Gari zao zina ubora, na bei nafuu kulinganisha na soko, unaweza kuagiza, local representatives atakupigia simu, hakikisha pesa unalipa kwenye account ya autocom japan.
Aisee Sijui ni nini hao Trust kwangu mimi naona wana bei za kurusha. Autocom Japan nawakubali nishaagiza kwao zaidi ya mara moja.Hawa Trust Japane naona they are too cheap to be True.[emoji28][emoji1787]
Autocom nadhani Wana Ofisi bongo aiseeeNimeagiza gari kupitia hawa jamaa autocom japan week mbili sasa sijapata mrejesho kutoka kwao, na hivi hawana office hapa bongo basi nabaki kujifariji tu sijapigwa na kitu kizito mwaka huu lols
Mkuu unapata wapi ujasiri wakulipia Pesa ndefu kwenye makampuni mapya mtandaoni?
Autocom na Autocj si ni moja??
Kama ndio, basi wana offisi bongo maana nakumbuka miaka kadhaa nyuma niliagizia ofisini kwao kipindi kile ilikuwa kwenye jengo la Quality plaza
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Aisee Sijui ni nini hao Trust kwangu mimi naona wana bei za kurusha. Autocom Japan nawakubali nishaagiza kwao zaidi ya mara moja.
Kumbe? Trust wana ofisi Dar?Kampuni mpya ni ipi hapa? Trust wako miaka mingi sana, sina hakika na Autocom (ambao hata hivyo wan Tra ofisi bongo)
Nimetembelea website yao naona hawako Wazi sana kama Beforward na Sbt. Car prices hawajumlishi Freight costs. Mpaka uanze kubagainTrust ni kweli wana bei kidogo na wana gari chache ila naona kama gari zao zimenyooka sana. (Ni personal experience, sio fact)
Nimetembelea website yao naona hawako Wazi sana kama Beforward na Sbt. Car prices hawajumlishi Freight costs. Mpaka uanze kubagain
Mkuu asante sanaHujajua tu jinsi ya kunavigate hiyo website yao. Unapata bei ya kila kitu hadi freight na extras. Then ndo unaweza ukaanza negotiation tokea hapo. Haina tofauti sana na website nyingineView attachment 2385957