Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hadi sasa nina B/L so nipe ushauri zaidi ili nimpigie simu sasa hivi thanks in advanceMkuu umechelewa sana kupata docs ungemwambia akutumie soft copy wakati unasubiria hzo B/L! Gari ikishatoka japan ndani ya week inatakiwa uwe ushapata docs fanya fasta mwambie akutumie softcopy uzitoe copy umtafute agent akalog kwenye system ya tra.
mkuu hadi sasa nina B/L so nipe ushauri zaidi ili nimpigie simu sasa hivi thanks in advance
Mkuu umechelewa sana kupata docs ungemwambia akutumie soft copy wakati unasubiria hzo B/L! Gari ikishatoka japan ndani ya week inatakiwa uwe ushapata docs fanya fasta mwambie akutumie softcopy uzitoe copy umtafute agent akalog kwenye system ya tra.
Tra wanakubaki ku log pdf/photocopies?
King Kong III umekamua vizuri sana hapa nimekukubali.Scanned Doc zinakuwa same as original copy,wenzetu scanner zao ni za ukweli sio hizi za kwetu mchina
Aliyekuuzia gari anatakiwa kukutumia doccument inayoitwa Bill of Lading (B/L). Hiyo ndio doccument ya lazima kwa nchi zote.
Lakini kwa vile TRA watataka kujua thamani ya gari, utahitajika kuonyesha risiti ya kununulia hilo gari. Kama huna sio tatizo lakini TRA watafanya makadirio yao yanayoweza kukuumia.
Kama gari linatoka Japan, aliyekuuzia ataambatanisha JAAI au another inspection ya kuthibitisha kuwa gari liko katika hali nzuri ya kiufundi.
Vitu hivyo vitatu pamoja na funguo mojawapo unaweza kutumiwa mara tu gari lako linapoingizwa kwenye meli kwa ajili ya kuanza safari ya Tanzania.
Cha msingi ni kwamba tafuta agent atakayeshughulikia utoaji wa gari lako in advance. Usingoje mpaka gari lifike.
Kama hufahamu kampuni hata moja. Jaribu kucheck na hawa jamaa (I am just giving you one example ili upate kwa kuanzia in case hufahamu any). Hawa wana uyoefu wa magari ya Japan and certainly sehemu nyingine:
DELUXE CARGO SERVICES
Uhuru/Lumumba Road, Workers Development Corp (T) Ltd Building 4th Floor Room No. 2
Dar es Salaam, Tanzania
Email: cargodeluxe@gmail.com
TEL: +255 22 218 1680 / +255 713 767 189
FAX: +255 22 218 1680
Mkuu hapa umeniacha. Unaposema TRA wanahitaji kujua gari yako umenunua kiasi gani kwani hiyo information inasaidia kujua VAT au ushuru gani? Nnavyoelewa mimi ile Calculator yao si inamaliza kila kitu kwa maana ya duties zote, au?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums