abby abdy Member Joined Oct 26, 2018 Posts 42 Reaction score 40 Mar 20, 2020 #1 Msaada kama kuna mtu ashawahi fanya biashara kupitia Kikuu. Je, shipping yao wanaleta kweli au ndio unasubiri mpaka unasahau kama ulinunua kitu Kikuu? Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada kama kuna mtu ashawahi fanya biashara kupitia Kikuu. Je, shipping yao wanaleta kweli au ndio unasubiri mpaka unasahau kama ulinunua kitu Kikuu? Sent using Jamii Forums mobile app
Superpower JF-Expert Member Joined Oct 11, 2018 Posts 826 Reaction score 920 Mar 20, 2020 #2 Mm nadhani mawakala ndo miyeyusho inategemeana na wakala wa mkoani kwako ila mm Mambo yalienda Kama wavyoniandikia kwenye website yao
Mm nadhani mawakala ndo miyeyusho inategemeana na wakala wa mkoani kwako ila mm Mambo yalienda Kama wavyoniandikia kwenye website yao
abby abdy Member Joined Oct 26, 2018 Posts 42 Reaction score 40 Mar 21, 2020 Thread starter #3 Mawakala wa dar.. Maana nlikua natumia jumia ...walikua wako vzur tu ...ila ndio vle asahvi hawako bongo Sent using Jamii Forums mobile app
Mawakala wa dar.. Maana nlikua natumia jumia ...walikua wako vzur tu ...ila ndio vle asahvi hawako bongo Sent using Jamii Forums mobile app
abby abdy Member Joined Oct 26, 2018 Posts 42 Reaction score 40 Mar 21, 2020 Thread starter #4 Acha nijarbu kitu kidgo kama wakinilidhisha tutaenda sawa Sent using Jamii Forums mobile app
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Mar 21, 2020 #5 Kupata utapata lakini mara nyingi nilizoagiza bidhaa sio uhalisia sana wa kile ulichokiona katika picha.
Kupata utapata lakini mara nyingi nilizoagiza bidhaa sio uhalisia sana wa kile ulichokiona katika picha.
Ramo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2018 Posts 1,818 Reaction score 1,824 Mar 22, 2020 #6 hii kampuni ni kampuni inaongozwa na illuminat kwani namba ya kampuni yao ni 666666. Dunia hii. Sent using Jamii Forums mobile app
hii kampuni ni kampuni inaongozwa na illuminat kwani namba ya kampuni yao ni 666666. Dunia hii. Sent using Jamii Forums mobile app