Kuagiza kitu kupitia Kikuu App

Kuagiza kitu kupitia Kikuu App

abby abdy

Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
42
Reaction score
40
Msaada kama kuna mtu ashawahi fanya biashara kupitia Kikuu.

Je, shipping yao wanaleta kweli au ndio unasubiri mpaka unasahau kama ulinunua kitu Kikuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nadhani mawakala ndo miyeyusho inategemeana na wakala wa mkoani kwako ila mm Mambo yalienda Kama wavyoniandikia kwenye website yao
 
Kupata utapata lakini mara nyingi nilizoagiza bidhaa sio uhalisia sana wa kile ulichokiona katika picha.
 
Back
Top Bottom