Kuagiza kitu kutoka nje ya nchi

Kuagiza kitu kutoka nje ya nchi

emkay

Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
62
Reaction score
55
Jamani humu ndani,kuna kifaa ninataka kuagiza ulaya au marekani, nimenge na maduka mbali mbali na makampuni ya usambazaji nimeambiwa hawawezi sababu hicho kifaa hakijawa-registered na TFDA.sasa nataka kujua ntakipataje kuna mdau anacho ila hasemi alifanyaje mpaka akakipata.
msaada humu jamvini
 
Jamani nmefurahi sana. Leo nmepata kifaa changu Kutoka USA. Namshukuru sana mwal RCT.nliagiza Eko core digital stethoscope na malipo yote nlifanya pasipo kuonana nae. Na leo pia nmemtuma mtu ambaye ameniletea home.
Kwa huduma hii,mwal RCT utaendelea kunisaidia hata huduma nyingine Kama kulipia baadhi ya bills zinazohitaji credit cards/paypal
 
Back
Top Bottom