Jamani humu ndani,kuna kifaa ninataka kuagiza ulaya au marekani, nimenge na maduka mbali mbali na makampuni ya usambazaji nimeambiwa hawawezi sababu hicho kifaa hakijawa-registered na TFDA.sasa nataka kujua ntakipataje kuna mdau anacho ila hasemi alifanyaje mpaka akakipata.
msaada humu jamvini
msaada humu jamvini