JOSEPHAT_07
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 303
- 181
Naomba kuuliza hivi nimenunua mzigo kwakutumia application ya alibaba kutoka china then mzigo akapewa Agent. Agent akanitajia gharama zake.
1.Je, mzigo ukifika nitahitajika kulipia kodi?
2. Au kodi inakuwa imejumuishwa kwenye gharama ya Agnt.
3.Au kodi inakatwa kwa bidha kubwa kama pikipiki na bihaa ndogo azikatwi kodi ka simu na vifaa vyake?
Tafadhali wapendwa naomba majibu ili mnisaidie
Pia soma:SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako