Kuagiza spare za pikipiki

David Goliath

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
949
Reaction score
1,878
Wakuu samahani naomba ushauri juu ya kuagiza spare za pikipiki kutoka china, Mungu akipenda mwaka 2022 nataka nifungue duka la jumla la vifaa vya pikipiki, utaratibu wa kuagiza ukoje, masoko Wanayo uza vifaa hivyo hasa china yako wapi, na njia gani zinatumika Hadi kupokea mzigo mwisho kabisa mtaji wakuanzia ni shiling ngapi, nyongeza nataka niwe nauza vifaa vya pikipiki za china tu, au GN
 
Wazoefu mko wapi mchangie na wengine tupate japo mwanga kidogo,,ingawa Kuna nyuzi zimezungumzia hii issue
 

Kwani wewe mtoa mada unataka kuanza na mtaji wa kiasi gani?,tukikwambia mtaji ni bilioni 4 utatufanyaje kwa mfano?
 
Jaribu kuagizia moja kwa moja
Kutoka kwa wafanyabiashara wa alibaba.com.
Inabidi usome kidogo namna ya kuwapata good manufacturer, suppliers, kama una mtaji mzuri hiyo ndio njia rahisi, unaweza kutembekea UAE ili uweze kufungua macho na kupata idea ya biashara ya spare.

Kwa maelezo maelezo zaidi nitumie message
00971527369138
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…