David Goliath
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 949
- 1,878
Wakuu samahani naomba ushauri juu ya kuagiza spare za pikipiki kutoka china, Mungu akipenda mwaka 2022 nataka nifungue duka la jumla la vifaa vya pikipiki, utaratibu wa kuagiza ukoje, masoko Wanayo uza vifaa hivyo hasa china yako wapi, na njia gani zinatumika Hadi kupokea mzigo mwisho kabisa mtaji wakuanzia ni shiling ngapi, nyongeza nataka niwe nauza vifaa vya pikipiki za china tu, au GN