premio engine zote nzuri tu sema kama ni mtu wa kusafiri safiri ungechukua ya 1,794cc ina nguvu kiasi chake na ni economy at the same time.Habarini ndugu!
Naomba msaada:-
1. wa kujua gharama za kuagiza TOYOTA PREMIO toka Japan na Ushuru wake kwa sasa.
2. Ni Premio ya injini ipi itanifaa maana niko Wilayani Serengeti na barabara si nzuri kivile.
3. Kampuni nzuri inayoaminika kwa kuagiza Magari ni ipi maana kuna wajanja wa mitandaoni wasije wakasepa na pesa yote niliyokopa.
Natanguliza Shukran zangu za dhati.
Nashukuru sana ndugu yangu kwa ushauri wako.premio engine zote nzuri tu sema kama ni mtu wa kusafiri safiri ungechukua ya 1,794cc ina nguvu kiasi chake na ni economy at the same time.
Wastani wa 16km/l ila kama utataka ambayo iko chini unaweza chukua ya 1,49Occ ya 16.6km/l ila hii engine inachelewa kidogo kuchanganya mwendo hasa kwenye safari.
mm nina premio ya 1500cc mwaka 2005 highway inaenda for 11.5km haizidi apo iyo unayosema ww 16.5km/l ulishawah tumia una uhakika wa data au premio yangu itakua na shida maana mm mwenyewe wakati naagiza niliambiwa consumption iko ivo lakini ni tofautipremio engine zote nzuri tu sema kama ni mtu wa kusafiri safiri ungechukua ya 1,794cc ina nguvu kiasi chake na ni economy at the same time.
Wastani wa 16km/l ila kama utataka ambayo iko chini unaweza chukua ya 1,49Occ ya 16.6km/l ila hii engine inachelewa kidogo kuchanganya mwendo hasa kwenye safari.
mm nina premio ya 1500cc mwaka 2005 highway inaenda for 11.5km haizidi apo iyo unayosema ww 16.5km/l ulishawah tumia una uhakika wa data au premio yangu itakua na shida maana mm mwenyewe wakati naagiza niliambiwa consumption iko ivo lakini ni tofauti
basi ntajaribu kuichek plug japo sizan kama zitakua na shida maana sijawah sikia inamis kwa dizaini yoyote japo hakuna ist inafika km 18 kwa lita watumiaji watakwambiaPremio yako haina plugs nzuri bila shaka, consumption haiwezi kuwa mbaya hivyo kwa 1.5L wakati wa IST anapata hadi 18kms/l on the same engine
mm nina premio ya 1500cc mwaka 2005 highway inaenda for 11.5km haizidi apo iyo unayosema ww 16.5km/l ulishawah tumia una uhakika wa data au premio yangu itakua na shida maana mm mwenyewe wakati naagiza niliambiwa consumption iko ivo lakini ni tofauti
mm nina premio ya 1500cc mwaka 2005 highway inaenda for 11.5km haizidi apo iyo unayosema ww 16.5km/l ulishawah tumia una uhakika wa data au premio yangu itakua na shida maana mm mwenyewe wakati naagiza niliambiwa consumption iko ivo lakini ni tofauti
Engine ya 1.3L inakufikisha humo freshi kabisa, 1.5L ikiwa na CVT ni uhakikabasi ntajaribu kuichek plug japo sizan kama zitakua na shida maana sijawah sikia inamis kwa dizaini yoyote japo hakuna ist inafika km 18 kwa lita watumiaji watakwambia
ukichangia kwa kuangalia izi figures ni sawa ila ukiwa nayo ndo utajua kwamba ata 12km/l haifiki[emoji28]View attachment 2406200
Wanaangalia hku