KISHINDO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 2,165
- 1,906
Habarini ndugu!
Naomba msaada:-
1. wa kujua gharama za kuagiza TOYOTA PREMIO toka Japan na Ushuru wake kwa sasa.
2. Ni Premio ya injini ipi itanifaa maana niko Wilayani Serengeti na barabara si nzuri kivile.
3. Kampuni nzuri inayoaminika kwa kuagiza Magari ni ipi maana kuna wajanja wa mitandaoni wasije wakasepa na pesa yote niliyokopa.
Natanguliza Shukran zangu za dhati.