Kuahirishwa kwa Mechi ya Simba na Yanga, Bodi ya Ligi Kuu ijitafakari

Kuahirishwa kwa Mechi ya Simba na Yanga, Bodi ya Ligi Kuu ijitafakari

Mabaunsa Walaumiwe...!

Mabaunsa Wabanwe...waseme aliyewatuma!

Nani Aliwatuma Wavuruge Mazoezi ya Simba?
 
Mambo mawili ya msingi hapa ni: -
1) Bodi na TFF zitimize majukumu na maamuzi yake kwa mujibu wa Sheria

2) Bodi na TFF zijitafakari kama Bado zinaweza kuendelea na jukumu hili. (Zijiuzulu)
 
Usikute hata serikali inataka mambo kama haya kuwa keep busy wananchi. Tangu jana kila sehemu story ni hii.
 
Back
Top Bottom