U Unyangwe Member Joined Sep 12, 2024 Posts 90 Reaction score 82 Mar 9, 2025 #21 KENZY said: sio ya nne ilikuwa ya tano mwaka jana mwaka huu imeshuka imekuwa ya sita na wakiendelea hivi itashuka mno! Click to expand... Kweli kabisa top ten itaondolewa soon
KENZY said: sio ya nne ilikuwa ya tano mwaka jana mwaka huu imeshuka imekuwa ya sita na wakiendelea hivi itashuka mno! Click to expand... Kweli kabisa top ten itaondolewa soon
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,089 Reaction score 9,664 Mar 9, 2025 #22 Mabaunsa Walaumiwe...! Mabaunsa Wabanwe...waseme aliyewatuma! Nani Aliwatuma Wavuruge Mazoezi ya Simba?
Mabaunsa Walaumiwe...! Mabaunsa Wabanwe...waseme aliyewatuma! Nani Aliwatuma Wavuruge Mazoezi ya Simba?
Y YOUR ATTORNEY Member Joined Feb 28, 2025 Posts 14 Reaction score 32 Mar 9, 2025 #23 Mambo mawili ya msingi hapa ni: - 1) Bodi na TFF zitimize majukumu na maamuzi yake kwa mujibu wa Sheria 2) Bodi na TFF zijitafakari kama Bado zinaweza kuendelea na jukumu hili. (Zijiuzulu)
Mambo mawili ya msingi hapa ni: - 1) Bodi na TFF zitimize majukumu na maamuzi yake kwa mujibu wa Sheria 2) Bodi na TFF zijitafakari kama Bado zinaweza kuendelea na jukumu hili. (Zijiuzulu)
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Mar 9, 2025 #24 Dah inasikitisha sana
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 9, 2025 #25 Wakurupukaji sana
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 5,248 Reaction score 3,663 Mar 9, 2025 #26 Usikute hata serikali inataka mambo kama haya kuwa keep busy wananchi. Tangu jana kila sehemu story ni hii.
Usikute hata serikali inataka mambo kama haya kuwa keep busy wananchi. Tangu jana kila sehemu story ni hii.