Kuajiriwa sio dhambi, angalia malengo yako na epuka malipo ya mwisho wa mwezi

Kuajiriwa sio dhambi, angalia malengo yako na epuka malipo ya mwisho wa mwezi

Mimi naona cha muhimu wewe mtu binafsi kua na malengo yako ulipwe kwa mwezi, kwa wiki au kwa siku ni malengo tu hata kama mshahara utalipwa siku ya 40 au 45 hakuna jambo ambalo ni rahisi katika maisha..
 
Mkuu ilo LA (kiherehere) limekaa njema
ila napata ukakasi kwenye izo kazi za kulipwa per day kwamba unakua unazurura tu au utafanya kaz sehemu moja?
 
zipo nyingi tu hata hiyo unayodhani inalipa kwa mwezi

kama unajiamini "no one like you" mtingishe boss mwambie

unataka kuanzia mwezi ujao,mshahara wako uingie per day.

inawezekana sana tu sema,ubavu wa kumpa masharti boss unao??
Yani nikuajiri afu ujitie kunitingisha una utani sio?..

hata Magu atakufukuza atakuambia kuna watu wengi wana vyeti hawana kazi

chagueni vya kufanya vijana msidanganyane
 
Yani nikuajiri afu ujitie kunitingisha una utani sio?..

hata Magu atakufukuza atakuambia kuna watu wengi wana vyeti hawana kazi

chagueni vya kufanya vijana msidanganyane
Sawa
 
Mkuu ilo LA (kiherehere) limekaa njema
ila napata ukakasi kwenye izo kazi za kulipwa per day kwamba unakua unazurura tu au utafanya kaz sehemu moja?
huzijui kazi za kulipwa per day?
 
Mimi naona cha muhimu wewe mtu binafsi kua na malengo yako ulipwe kwa mwezi, kwa wiki au kwa siku ni malengo tu hata kama mshahara utalipwa siku ya 40 au 45 hakuna jambo ambalo ni rahisi katika maisha..
ni sawa ila mshahara unapokuja siku ya 40 au 45 unaharibu mipango ya mtu

unajua ni bora 500 ambayo una uhakika nayo kuliko 1000 usiyo na uhakika nayo.
 
Mleta mada wakikulipa kwa siku kodi wanaikokotoa vipi? Mfano Gross ya 2,500,000÷30 = 83,333 kwa siku na kama utalipwa kwa mwezi utapokea 1,600,000 baada ya makato ya kodi na bima ya afya..au ndo watachukua 1,600,000 ÷ 30 = 53,333 kwa siku? Pia inategemea na aina ya biashara inayofanyika maana kama biashara inategemea watu waje kupata huduma ndo hela iingine hata hayo malipo ya kwa siku unaweza ukapunjwa tu na deni likawa carried over the following day and etc
unajua kitu chochote ukikiangalia kwa jicho la "haiwezekani" au ni "ngumu" na kweli kitabaki hivyo hivyo.

ila napenda tu ufahamu kuwa inawezekana,Kodi wanatozwa wasanii tamasha la dk 5 sembuse wewe siku nzima

kodi ishindwe kukokotolewa? Ukisema haiwezekani sawa sikatai itabaki hivyo haiwezekani.
 
Kodi wanayolipa wasanii inakokotolewa kitofauti na anayolipwa mtumishi...hilo lilikua ni swali tu
 
Hapo kwenye kipengele cha kutoa taarifa miez miwili kabla hujaacha kaz nimekiona kwenye mkataba wangu, ila nimeacha kaz siku hiyo hiyo, afu kuna kingine ukiacha kabla ya muda wa mkataba kuisha unailipa kampuni...haya majamaa waizi sana
 
wafanyabiashara hao, hawakuajiri ili ufanikiwe (utajirike)

wanakuajiri ili usaidie wako/kampuni itajirike ifike mbali

kisha wakifanikiwa ndio wataamua na wewe wakufanikishe au

wakuache hapo hapo ukisota kwa kujitia mfanya kazi bora.

Bila akili ya ziada huwezi elewa vipengele vya kwenye mikataba.
 
Nakuelewa sana bro uko vizuri endelea kutupa nondo
 
Salutr Mkuu CONTROLA yaani baada ya kusoma nyuzi yako inayojadili kuongeza thamani ya bidhaa au huduma basi ikanifanya nisome nyuzi zako nyingine.

Kifupi unamwaga madini ya kutosha na hii ndio maana ya great thinkers.

Hakika watanzania tukiongeza maarifa ya biashara na ujasiriamalo na kutekeleza kwa vitendo tutapunguza tatizo la ajira na umaskini, pia tuelewe mafanikio ni pamoja na ku leta impact kwenye jamii kama unavyofanya, ingawa nimegundua kuna wasomaji always wana negative mind na waoga ku take risk wakati tumeshaongea mara nyingi huwezi kujua kuogelea kama haujifunzi kwa vitendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimechelewa kusoma huu uzi ila umezungunza ujweli tupu.

Nipo kituo fulani napiga kazi huu mwezi wa nne tangu nimeanz kufanya kazi miezi miwili ya mwanzo nilikubaliana na boss nipewe kwa mwezi dah lakini nikawa nakopwa mzee baba unakuta kama ilibidi upatae 100k ikifika mwisho wa mwezi saundi kibao unapewa 50k nyingine deni.

Nikaona huu ufala nikamwambia boss naomba nipewe kila siku kila ninapoingia kazini mpaka sasa hela ninaiona changamoto ipo uwe na nidhamu kubwa sana ya kuhifadhi hela pia hii imenifanya nisiwe mvivu maana najua nisipoingia kazini au nikizembea basi sipati kitu.
ni kweli kabisa chief, na mara nyingi unaweza kuwa na malengo mazuri ila Boss (muajiri) akakuangusha.

fikiria unataka hela yako ushapigia hesabu zako tarehe 30 ntafanya kitu,lenyewe linakulipa mshahara

mwezi unaofata tena bora iwe mwanzoni,anakulipa huko tar 13 -15 imagine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom