ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Wanaume hatuoneshi mapenzi Kwa maneno au Kwa kujionesha Kwa watu
Tunaonesha mapenzi Kwa vitendo na kuwajibika hapo mke na watoto watajua kweli anawapenda Kwa dhati
Sio kutaja " I love you" mara 100 Kwa siku, wakati watoto hawana hawana ada, chakula na mahitaji
Hapo mwanaume unaonekana huna mapenzi
Kuambatana na mkeo hayo ni mapenzi ya shule secondary form Three
Mfano, Jana nimemwona Haji Manara akiambatana na mkewe msibani, hadi akaitwa atoe Salam za pole nikashangaa eti mkewe kamsindikiza, mwisho nikaona wanaumbuka tu