Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Actually,Umemaliza kila kitu kada wa Chama😆
Hiyo ndo shida ya wanaume wengi kudhani akishatimiza mahitaji ya nyumbani basi ndo kaonesha upendo.Wanaume hatuoneshi mapenzi Kwa maneno au Kwa kujionesha Kwa watu
Tunaonesha mapenzi Kwa vitendo na kuwajibika hapo mke na watoto watajua kweli anawapenda Kwa dhati
Sio kutaja " I love you" mara 100 Kwa siku, wakati watoto hawana hawana ada, chakula na mahitaji
Hapo mwanaume unaonekana huna mapenzi
Kuambatana na mkeo hayo ni mapenzi ya shule secondary form Three
Mfano, Jana nimemwona Haji Manara akiambatana na mkewe msibani, hadi akaitwa atoe Salam za pole nikashangaa eti mkewe kamsindikiza, mwisho nikaona wanaumbuka tu
Kwenda misibaniMitoko ya kwenda wapi?
Kwani kutoka ni hitaji la mwanamke
Mke wangu hajawahi kunitamkia I Love you Bushdokta, but she is the best lovely woman i have never seen in my life.Wanaume hatuoneshi mapenzi Kwa maneno au Kwa kujionesha Kwa watu
Tunaonesha mapenzi Kwa vitendo na kuwajibika hapo mke na watoto watajua kweli anawapenda Kwa dhati
Sio kutaja " I love you" mara 100 Kwa siku, wakati watoto hawana hawana ada, chakula na mahitaji
Hapo mwanaume unaonekana huna mapenzi
Kuambatana na mkeo hayo ni mapenzi ya shule secondary form Three
Mfano, Jana nimemwona Haji Manara akiambatana na mkewe msibani, hadi akaitwa atoe Salam za pole nikashangaa eti mkewe kamsindikiza, mwisho nikaona wanaumbuka tu
Mwanangu jioni njoo tupige mbuziNatamani nipone, nikaupe mwili pole pale kitambaa cheupe....😝
Karibu PM....😋Mwanangu jioni njoo tupige mbuzi
Hvi walimwengu sie tusingewaona pmja content za "washaachana zingeanza".Actually,
ni muhimu sana kuelezana ukweli, kutahadharishana na kukumbushana mambo haya ambayo hutokea bayana lakini hayasemwi mara kwa mara pia.
Ni angalizo muhimu sana kwakweli.
Ya ndani ikiwa ni pamoja na mapenzi yamalizwe ndrani kwa ndrani na wahusika,
kujionyesha kwa watu nje haina maana yoyote ni kutengeneza mazingira ya kutosameheana tu mkitofautiana 🐒
mlikutana kimjini mjini mnaachana kimjini mjini tu kimya kimya bila mayowe 🐒Hvi walimwengu sie tusingewaona pmja content za "washaachana zingeanza".