Wanaume hatuoneshi mapenzi Kwa maneno au Kwa kujionesha Kwa watu
Tunaonesha mapenzi Kwa vitendo na kuwajibika hapo mke na watoto watajua kweli anawapenda Kwa dhati
Sio kutaja " I love you" mara 100 Kwa siku, wakati watoto hawana hawana ada, chakula na mahitaji
Hapo mwanaume unaonekana huna mapenzi
Kuambatana na mkeo hayo ni mapenzi ya shule secondary form Three
Mfano, Jana nimemwona Haji Manara akiambatana na mkewe msibani, hadi akaitwa atoe Salam za pole nikashangaa eti mkewe kamsindikiza, mwisho nikaona wanaumbuka tu
Chunguza interviews zote anazohojiwa Manara sikuhiziπSikulijua hili
π€£Hii hatari kwake sasaManara amegoma kuwa mwanaume amekomalia stage ya uvulana
Umenichekesha sana mkuuMimi na wangu hua tukikosana sikuhiyo kila mmoja anatoka nyumbani na kuipita mlango wake.
Ila cha ajabu mida ya kazi ikiisha lazima mmoja atamtafuta mwenzie kujua anatoka saa ngapi na amaubirie wapi..π€£
Tukisha kutana sehem, tuna upa pole mwili kwa kuagiza vinywaji na kisha tunaongea machache kuhusu kazi na siku ilivyo enda then tunarudi home kwa furaha na kesi inakua imeyeyuka.
Ila kipindi hiki kuna time tulikaa kama miezi 6 hatuja kosana hata kwa kujibishana hadi kuna siku nikauliza "mbona zimepita siku nyingi hatuja gombana...π" akanijibu "umemiss ugomvi eehhh...π"
π€£π€£π€£Swali la kichokozi hilo.Mimi na wangu hua tukikosana sikuhiyo kila mmoja anatoka nyumbani na kuipita mlango wake.
Ila cha ajabu mida ya kazi ikiisha lazima mmoja atamtafuta mwenzie kujua anatoka saa ngapi na amaubirie wapi..π€£
Tukisha kutana sehem, tuna upa pole mwili kwa kuagiza vinywaji na kisha tunaongea machache kuhusu kazi na siku ilivyo enda then tunarudi home kwa furaha na kesi inakua imeyeyuka.
Ila kipindi hiki kuna time tulikaa kama miezi 6 hatuja kosana hata kwa kujibishana hadi kuna siku nikauliza "mbona zimepita siku nyingi hatuja gombana...π" akanijibu "umemiss ugomvi eehhh...π"
Wivu ni mbaya sana mkuu ishi maisha yakoWanaume hatuoneshi mapenzi Kwa maneno au Kwa kujionesha Kwa watu
Tunaonesha mapenzi Kwa vitendo na kuwajibika hapo mke na watoto watajua kweli anawapenda Kwa dhati
Sio kutaja " I love you" mara 100 Kwa siku, wakati watoto hawana hawana ada, chakula na mahitaji
Hapo mwanaume unaonekana huna mapenzi
Kuambatana na mkeo hayo ni mapenzi ya shule secondary form Three
Mfano, Jana nimemwona Haji Manara akiambatana na mkewe msibani, hadi akaitwa atoe Salam za pole nikashangaa eti mkewe kamsindikiza, mwisho nikaona wanaumbuka tu
Don't forget to give a little love tap on the cheeks every now and then.....πMimi na wangu hua tukikosana sikuhiyo kila mmoja anatoka nyumbani na kuipita mlango wake.
Ila cha ajabu mida ya kazi ikiisha lazima mmoja atamtafuta mwenzie kujua anatoka saa ngapi na amaubirie wapi..π€£
Tukisha kutana sehem, tuna upa pole mwili kwa kuagiza vinywaji na kisha tunaongea machache kuhusu kazi na siku ilivyo enda then tunarudi home kwa furaha na kesi inakua imeyeyuka.
Ila kipindi hiki kuna time tulikaa kama miezi 6 hatuja kosana hata kwa kujibishana hadi kuna siku nikauliza "mbona zimepita siku nyingi hatuja gombana...π" akanijibu "umemiss ugomvi eehhh...π"
Natamani nipone, nikaupe mwili pole pale kitambaa cheupe....πDon't forget to give a little love tap on the cheeks every now and then.....π
Pole sana rafikiNatamani nipone, nikaupe mwili pole pale kitambaa cheupe....π
Huwa wananifurahisha wakiwa mbele za watu jamaa anavyolazimisha kushika mkono wa mkewe ila mkewe anakwepa.Chunguza interviews zote anazohojiwa Manara sikuhizi
Inaonesha dhahiri kabisa Kuna uasi anavumilia
π€£π€£π€£Pale hamna kitu cuteHuwa wananifurahisha wakiwa mbele za watu jamaa anavyolazimisha kushika mkono wa mkewe ila mkewe anakwepa.
Show loves hua hazidumu,Wanaume hatuoneshi mapenzi Kwa maneno au Kwa kujionesha Kwa watu