Kuambatana na mke wako Kwa watu, haimaanishi una mapenzi ya dhati kwake

Show loves hua hazidumu,

nyingi zimeshasambaratika na nyingi ziko mahututi ICU kusambaratika.

na haiwezekanagi kurudiana tena πŸ’
Umemaliza kila kitu kada wa ChamaπŸ˜†
 
Umemaliza kila kitu kada wa ChamaπŸ˜†
Actually,
ni muhimu sana kuelezana ukweli, kutahadharishana na kukumbushana mambo haya ambayo hutokea bayana lakini hayasemwi mara kwa mara pia.

Ni angalizo muhimu sana kwakweli.

Ya ndani ikiwa ni pamoja na mapenzi yamalizwe ndrani kwa ndrani na wahusika,

kujionyesha kwa watu nje haina maana yoyote ni kutengeneza mazingira ya kutosameheana tu mkitofautiana πŸ’
 
Bongo kwa kufuatilia mambo ya hovyo ni balaa.
Huo ni umbea tu 🀣🀣🀣
 
Hiyo ndo shida ya wanaume wengi kudhani akishatimiza mahitaji ya nyumbani basi ndo kaonesha upendo.
Baadae unaibiwa na houseboy
unalalama.

" umekosa Nini kwangu"..

Amekosa kuoneshwa upendo kwa vitendo. Wanawake sio sawa na wanaume, muhimu kujua Lugha zao za mapenzi, sio unaishi nae kama mwanaume mwenzio.
 
Mke wangu hajawahi kunitamkia I Love you Bushdokta, but she is the best lovely woman i have never seen in my life.

Her Acts speaks louder.
 
Acha wivu mkuu. Acha tu tuambatane, ndio tumeamua hivyo na tunapendana.
 
Hvi walimwengu sie tusingewaona pmja content za "washaachana zingeanza".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…