duh! eti maswali matano magumu!
Go 2 hell! Kama hawana cha kuandka fungeni companyπ‘
siku ya kufa shigongo nitaanzisha gazeti wiki hiyohiyo kufanya sherehe.
huyu jinga mbona aandiki kwamba baba yake amekufa na analiwa na mafunza tu huko makaburini jinga kabisa huyu shigongo.
huyo stara alikuwepo kabla ya ndoa.na ujue global walivyo magumash wanataka tu watz wajue huyo marehemu aliwah kuwa na mahusiano na stara period!
aisee sasa huyu mke wa ndoa,alikuwepo kama picha,ila ndoa za kikristo hazina talaka,pole sana Janeth
Miaka sita iliyopita. Hata sikumbuki.Unamaanisha mke wa ndoa alikua Stara Thomas?
πππloh huyu she gongo nae aghrr nae aingizwe kwenye list ya mafisadi anaandikaje habar za kimagumash namna hii?anaibia watz!hayo magazet skuhz hata cyagusagi,