jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Kuna yule mzilankanda.... Umewahi kujua origin yake hasa? Babu yake unajua alizikwa wapi?Kuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.
Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.
Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
Kuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.
Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.
Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
Nasikia huyo ndiye mgonjwa ghali zaidi duniani!Yaani kama Ndugai alivyokaa India kwa matibabu basi alivyorudi akawa sio raia wa Tz.
Ha ha haaa,hivi ni vichekesho vya karne.Kuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.
Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.
Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
hilo lipo wazi hata watoto wake ameshawahamishia ubeleshikama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
Watoto kuwa nje hakuwaondolei uraia wao kamwe, hata maige na mkapa watoto wao wako nje.hilo lipo wazi hata watoto wake ameshawahamishia ubeleshi
Kwa sasa focus ni uchaguzi kwanza hatutaki kuwapa watu sababu ya kushindwa