Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Hili la uraia wa Lissu ndo kwanza nalisikia kwakoKuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.
Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.
Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.