Kizuri ambacho naweza sema ni kwamba hayo yote anayatamka lakini anasisitiza endapo tu haki haita tendeka , mimi binafsi sion tatizo ilimradi tu haki iwepo nadhan haki ikiwepo kutakuwa na amani ingawa nauhakika hata haki isipo tendeka lissu hana cha kufanya maana jeuri hiyo hana.Mbelgiji amekuja kuhakikisha amani yetu inaondoka yaani yeye kila akisimama jukwaani hana kauli za amani ni Shari tu,
Mara ooh patachimbika,
Kitaeleweka,
Tutaingia barabarani,
Tutawapeleka ICC.
Huyu mtu ana matatizo sio bure.
Na wewe yuonyeshe ushahidi alikozikwaKuna yule mzilankanda.... Umewahi kujua origin yake hasa? Babu yake unajua alizikwa wapi?
Alitoa taarifa za uongo. And that's treason!!!Alipataje uhalali wa kugomea kama sio raia?
CCM mnatia huruma kwa hoja za kitotoKuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.
Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.
Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
CCM sasa wanatapatapa polepole mwenyewe siyo Mtanzania katibu mkuu wa CCM ni raia wa RwandaKusema lissu sio RAIA ccm wamechemka sana, yako mambo ya kusema sio hili.lissu ni RAIA 100%.watanzania wote wanajua
Hizo kauli sio nzuri kipindi hiki cha uchaguzi ambacho hisia za watu zipo juu kidogo ,Kizuri ambacho naweza sema ni kwamba hayo yote anayatamka lakini anasisitiza endapo tu haki haita tendeka , mimi binafsi sion tatizo ilimradi tu haki iwepo nadhan haki ikiwepo kutakuwa na amani ingawa nauhakika hata haki isipo tendeka lissu hana cha kufanya maana jeuri hiyo hana.
Akili za ccm wanajijua wenyewe tu, sijui huko phd walienda kusomea uzezeta?Kuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.
Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.
Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
Waanze banyamulenge makufuli ambaye wasukuma hawamtambui kama ni mwenzao Wala hakuna kabila Tanzania lenye ukoo huo wa kigaidi na kizandiki huyu ni raia wa nchi gani?Kuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.
Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.
Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
Cardiac arrestKuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.
Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.
Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
Mti wa Lissu!Cardiac arrestView attachment 1582988
Kwani Magufuli ni Raia wa Tanzania???Kuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.
Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.
Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
Sio Siri nilimdharau sana lisu baada ya kusikia anakuja kugombea ila kwa ninayoyaona ni wazi wakili anawanyima usingizi watawala yaani siamini macho ynguKuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.
Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.
Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
Haha yani siamn kama lissu angekuwa jeuri kiasi hichi mpaka watawala wafikie hatua hii daah!! Nilimchukulia poa sana lissuMbelgiji amekuja kuhakikisha amani yetu inaondoka yaani yeye kila akisimama jukwaani hana kauli za amani ni Shari tu,
Mara ooh patachimbika,
Kitaeleweka,
Tutaingia barabarani,
Tutawapeleka ICC.
Huyu mtu ana matatizo sio bure.
Wanalala na viatu saivi! Lissu hakamatiki wala hazuiliki. Mungu kasema kupitia mtumishi Mwingira, huwezi kushindana na mshindiiii πππSio Siri nilimdharau sana lisu baada ya kusikia anakuja kugombea ila kwa ninayoyaona ni wazi wakili anawanyima usingizi watawala yaani siamini macho yngu
kimaadili alipaswa kuweka wazi kwamba alishachukua uraia wa nchi nyingine na kuikana TanzaniaAlipataje uhalali wa kugomea kama sio raia?