Uchaguzi 2020 Kuambiwa kwamba si Raia wa Tanzania, ni kashfa kubwa kwa Tundu Lissu na familia yake

Hili la uraia wa Lissu ndo kwanza nalisikia kwako
 
Hivi eti kuku tu ndiye huwa anataga yai? Maana nimeota kuna mtu ametaga yai maana si kwa kelele hizo za uongo.
 
Mbelgiji amekuja kuhakikisha amani yetu inaondoka yaani yeye kila akisimama jukwaani hana kauli za amani ni Shari tu,

Mara ooh patachimbika,

Kitaeleweka,

Tutaingia barabarani,

Tutawapeleka ICC.

Huyu mtu ana matatizo sio bure.
Toka pepo mchafu, unadhani sisi watanzania wa leo ni wajinga wa kiwango hicho, kwamba unaweza kutuletea huo upumbavu wako halafu tukubaliane na wewe.

Eti Mbeligiji, ushindwe na ulegee.
 
Hiyo Hoja haitawapeleka CCM Ikulu ,

Wajikite kwenye mambo ya Msingi kitu ambacho wameshindwa kufanya hata baada ya miaka zaidi ya 50 uhuru wetu.
 
Hizi kashifa za kitoto hata hazina tija na huyo Lissu Wala siyo tishio kwa CCM Kama wenyewe wanavyohangaika naye, Membe ndo tishio kwa CCM maana anawafuasi CCM waliokaa kimya na ndo wapiga kura.
 
Mbelgiji amekuja kuhakikisha amani yetu inaondoka yaani yeye kila akisimama jukwaani hana kauli za amani ni Shari tu,

Mara ooh patachimbika,

Kitaeleweka,

Tutaingia barabarani,

Tutawapeleka ICC.

Huyu mtu ana matatizo sio bure.
Mmezoea wizi wa kura safari him mmepatikana
 
Mmeshindwa kumuua sasa mnazusha kuhusu uraia ! Hakika mmeishiwa .
 
Nyie ndio mliyoanza kumtukana Lissu.
Hasa huyo ambae pamoja na kula rambirambi za wahanga wa tetemeko na kutaka hata kuwapiga mashangazi wa NTWALA na LINDI, anatamani kuwa mkuu wa malaika.
Baada ya kupita kwenye miaka mitano ya giza na uvuli wa mauti, hakuna cha kuogopa tena.
Mbelgiji amekuja kuhakikisha amani yetu inaondoka yaani yeye kila akisimama jukwaani hana kauli za amani ni Shari tu,

Mara ooh patachimbika,

Kitaeleweka,

Tutaingia barabarani,

Tutawapeleka ICC.

Huyu mtu ana matatizo sio bure.
 

Yan hapo tume mzima itavunjwa 😂
 
Yani ccm mwaka huu wanaweweseka sana inafikia hatua njiani mwanaccm anaongea peke yake
 
Mbelgiji amekuja kuhakikisha amani yetu inaondoka yaani yeye kila akisimama jukwaani hana kauli za amani ni Shari tu,

Mara ooh patachimbika,

Kitaeleweka,

Tutaingia barabarani,

Tutawapeleka ICC.

Huyu mtu ana matatizo sio bure.

Watanzania wako Milion 60
Kila mmoja anaitaji kusikia anachotaka, Sasa ww unataka kila siku tusikie maneno Yale Yale ya Lisu ametumwa na wazungu

Kwa akili yako kama wazungu hawamtaki magu hata hizo ndege asingenunua

Wangesema tu ela yake yamashetani
 
Mbelgiji amekuja kuhakikisha amani yetu inaondoka yaani yeye kila akisimama jukwaani hana kauli za amani ni Shari tu,

Mara ooh patachimbika,

Kitaeleweka,

Tutaingia barabarani,

Tutawapeleka ICC.

Huyu mtu ana matatizo sio bure.
Na amesema mkileta akili za polepole tuwalambe viboko kutoka dodoma hadi chato.
 
How old are you?
 
Hiyo ni mbinu ya kijinga na chafu ya Serikali ya Awamu hii iliyotumika sana miaka 5 iliyopita ikiwa na nia ya kuwanyamazisha wapinzani au wakosoaji lakini mara nyingi imeshindikana kwa kukosa ushaidi. Wananchi wengi sana wanaishi nchini passport zao zikiwa zinashikiliwa na Serikali kwa madai kuwa watu hao si Raia na uchunguzi utaendelea miaka baadaye kimyakimya hurudishiwa passport zao lengo likiwa limetimia lakini wahusika wakiwa wamepoteza kila kitu. Wameona anakuja vibaya kwa upande wao kwenye kampeni wanatafuta njia ya kumuengua kwa kutumia kila mbinu chafu kama hiyo pia ameitwa afike mbele ya kamati ya maadili kujibu tuhuma zisizowekwa bayana. Toka kampeni zianze wamekuwa wakimshutumu kuwa anatumia lugha za matusi lakini hakuna anayetaja matusi hayo na lini na nani anatukanwa. Mwezi mmoja wa kampeni imekwisha salama waelewa wanafurahi lakini wa upande wa pili hawapendi kuona yanayoendelea wanaanza kutumia vyombo vya dola kufanya chokochoko ili kupunguza au kusitisha kabisa kasi ya kampeni ya Mgombea wa Upinzani. Mgombea wa Upinzani anakubalika sana na wananchi na Serikali inachofanya kujaribu kumuengue ili mgombea wao apite kwa urahisi ni hatari sana inaweza ikaleta machafuko yakashindikana kuzimwa. Mpaka sasa Polisi wamefanya kazi nzuri sana kwa kutokuelekea upande mmoja kama ilivyo kawaida yao ingawa wachache imewagharimu na tunawapa pole na kuwaomba waendelee kulinda raia na mali zao. Mh. Lissu unaifahamu sana Serikali hii na wa Serikalini keep your distance but never surrender you are the only hope. Wishing you all the best as you face Pharaoh!
 

Kabla ya hapo jibuni hoja ya mgombea wenu kuhusu vyeti vyake vya kuzaliwa mbona mnalikwepa hili ufafanuzi muhimu.
Je tz inaruhusu uraia wa nchi mbili
Tatu tume inatoa formu kwa asiye raia.
Karibu tuunge mkono mabadiliko tuiponye Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…