tracy JF-Expert Member Joined Sep 22, 2010 Posts 784 Reaction score 269 Jul 7, 2012 #1 Habari za siku nyingi my dears? Ningependa tu kujua tu,hivi ni lazima kwa watu walio kwenye relationship(not married neither engaged) kuambizana leo nimepata salary?is it an obligation?if hujaambiwa unaeza kuua uhusiano?hili swali ni kutoka kwa mwanamke.
Habari za siku nyingi my dears? Ningependa tu kujua tu,hivi ni lazima kwa watu walio kwenye relationship(not married neither engaged) kuambizana leo nimepata salary?is it an obligation?if hujaambiwa unaeza kuua uhusiano?hili swali ni kutoka kwa mwanamke.
CUTE JF-Expert Member Joined Mar 5, 2012 Posts 1,229 Reaction score 592 Jul 7, 2012 #2 sio lazima jamani khaa! ila mkiwa mumeoana nafiriki ni poa zaidi mkiwa mnashare kila news kwa pamoja(inakua inafurahisha kwa kiasi flani ivi)
sio lazima jamani khaa! ila mkiwa mumeoana nafiriki ni poa zaidi mkiwa mnashare kila news kwa pamoja(inakua inafurahisha kwa kiasi flani ivi)
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Jul 7, 2012 #3 a a....over my ded body o o.......I can't kwa kweli.....
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Jul 7, 2012 #4 Preta said: a a....over my ded body o o.......I can't kwa kweli..... Click to expand... Afu jana ikawaje ukaukimbia ule uzi wa "juu" ? Ulishuka saa ngapi?
Preta said: a a....over my ded body o o.......I can't kwa kweli..... Click to expand... Afu jana ikawaje ukaukimbia ule uzi wa "juu" ? Ulishuka saa ngapi?
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Jul 7, 2012 #5 Judgement said: Afu jana ikawaje ukaukimbia ule uzi wa "juu" ? Ulishuka saa ngapi? Click to expand... jana w/end shem....nilikuwa bizi sana na burudani....
Judgement said: Afu jana ikawaje ukaukimbia ule uzi wa "juu" ? Ulishuka saa ngapi? Click to expand... jana w/end shem....nilikuwa bizi sana na burudani....
platozoom JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 9,548 Reaction score 11,539 Jul 7, 2012 #6 Kwa sisi vibarua sijui inakuwaje
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Jul 7, 2012 #7 platozoom said: Kwa sisi vibarua sijui inakuwaje Click to expand... unaleta mapato ya siku.....
platozoom JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 9,548 Reaction score 11,539 Jul 7, 2012 #8 Preta said: unaleta mapato ya siku..... Click to expand... Kama siku hiyo nimedhulumiwa nakueleza maumivu niliyopata ili unisaidie sio?
Preta said: unaleta mapato ya siku..... Click to expand... Kama siku hiyo nimedhulumiwa nakueleza maumivu niliyopata ili unisaidie sio?
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Jul 7, 2012 #9 kqma hatuna ndoa mshahara wangu haukuhusu.....utausikia tu.....
tracy JF-Expert Member Joined Sep 22, 2010 Posts 784 Reaction score 269 Jul 9, 2012 Thread starter #10 Yani nlidhani eli..thank you people!unaeza achwa ati!lol
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Jul 9, 2012 #11 nakupenda hivi hivi, mwanamke msimamo dada lol. Preta said: a a....over my ded body o o.......I can't kwa kweli..... Click to expand...
nakupenda hivi hivi, mwanamke msimamo dada lol. Preta said: a a....over my ded body o o.......I can't kwa kweli..... Click to expand...