Kuamini Hezbollah, Hamas, wanaweza kumpiga myahudi jwa vita hivi ni unyanyasaji

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Katika vitu ambavyo nawalaumu ndugu zangu wa uislam ni kujitoa akili kuamini kuwa magroupe ya hamas,hezbollah wanaweza kumpiga myahudi
Huu ni ujinga na unyanyasaji wa haki za binadamu
Myahudi sio mkristo ila ndugu zangu myahudi akili zake haziko Sawa na ni mtu wa vita sisi tuombe tu amani uko bila ivo ataua raia wengi uko lebanon na Gaza akisumbuliwa saana hanaga cha kupoteza Yule
Kwa hiyo tuache ushabiki kwenye mambo ya vita
 
Mleta mada akili unazo sawa sawa wanaoisapoti hamas na hizbu sio pekee waislam pia kuua raia sio ushindi wa vita na yahudi kama hana cha kupoteza acha tuone
 
Sasa si tufanyaje, na watu wanakiwasha...unazan watu kule wanaleta itikadi za kinyonge.
Ukirusha ngumi, unalipwa ngumi haijalishi una guard au la
 
Katika vitu ambavyo nawalaumu ndugu zangu wa uislam ni kujitoa akili kuamini kuwa magroupe ya hamas,hezbollah wanaweza kumpiga myahudi
Huu ni ujinga na unyanyasaji wa haki za binadamu
Myahudi sio mkristo ila ndugu zangu myahudi akili zake haziko Sawa na ni mtu wa vita sisi tuombe tu amani uko bila ivo ataua raia wengi uko lebanon na Gaza akisumbuliwa saana hanaga cha kupoteza Yule
Kwa hiyo tuache ushabiki kwenye mambo ya vita
Sasa mambo ya ukristo yameingiaje kwenye mapambio yako kwa hao wayahudi unao wahusudu ?
 
Katika vitu ambavyo nawalaumu ndugu zangu wa uislam ni kujitoa akili kuamini kuwa magroupe ya hamas,hezbollah wanaweza kumpiga myahudi
Huu ni ujinga na unyanyasaji wa haki za binadamu
Myahudi sio mkristo ila ndugu zangu myahudi akili zake haziko Sawa na ni mtu wa vita sisi tuombe tu amani uko bila ivo ataua raia wengi uko lebanon na Gaza akisumbuliwa saana hanaga cha kupoteza Yule
Kwa hiyo tuache ushabiki kwenye mambo ya vita
Katika vitu ninavyowalaumu ndugu zangu Wakristo ni kuamini kwamba hawa waisrael wa leo ni ndugu zao kiimani.

Mtu anakaza mishipa ya shingo kufurahia mauaji ya watoto na kinamama wasio na hatia kisa tu anayefanya mauaji hayo ni mwenzake kiimani.

Halafu utamkuta kwenye nyumba za ibada akihubiri "usiue" mara "kuua ni dhambi"
 
Back
Top Bottom