Taifa limekuwa la wahuniCCM haijawahi kuwa msaada Kwa Taifa
Msaada wake mtauona mwaka 2030 mwanae akiwa Raisi wa nchi hi,Ndivyo ilivyo JK mambo yake yanaenda wala hajali na ya wahuni wenzake nao mambo yao yanaenda hivyo wahuni wameshikamana na wamekuwa na nguvu na wakiachwa wakajijenga zaidi hali itakuwa mbaya zaidi kuja kuirudisha nchi kwenye mfumo wa kutawalika vizuri
Wahuni wote yeye ndiye mfadhili wao kinaMe mwenyew naona kama vile mzee anaangushiwa jumba bovu tu ila nyuma ya pazia Kuna wahun wenye nguvu haswa wanaochezesha mifumo
Call them master mind
Tatu anavyokuwadia udhalimu kumuunga mkono Samia ili tu mtoto wake awe Rais 2030Kusema ukweli bila kupindisha maneno JK ana mchango wa 90% wa mdororo wa kisiasa uliopo nchi sasa hivi. Kwanza kwa jinsi alivyopiga U Turn kwenye uandikwaji wa Katiba Mpya na pili kupenyeza agenda zake katika mchakato wa kumpitisha Samia kuwa mgombea wa CCM .
Anaangamiza nchiNdivyo ilivyo JK mambo yake yanaenda wala hajali na ya wahuni wenzake nao mambo yao yanaenda hivyo wahuni wameshikamana na wamekuwa na nguvu na wakiachwa wakajijenga zaidi hali itakuwa mbaya zaidi kuja kuirudisha nchi kwenye mfumo wa kutawalika vizuri
Swadaktaaaa !!!Tatu anavyokuwadia udhalimu kumuunga mkono Samia ili tu mtoto wake awe Rais 2030