HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Ni kweli umeandika lakini haujaeleweka.Au nia yako ilikuwa usieleweke?Ni uvivu tu wa kufikiri na kutambua kuwa KUAMINI kitu ni mashaka badala yake ni KUJUA ni kujua kitu.
Waafrika wengi wamepotoshwa kuwa kuna kumwamini yesu na muhamadi ambao ni njia ya kwenda kwa Mungu.
Inakuaje uamini kitu ambacho hukijui iwapo tunaamini kuna kufa kwa sababu tunajua watu wanakufa,tunaamini baba na mama kwa sababu wanatuzaa,nk.
Unaaminije katika yesu na muhamadi wakati huwajui na kuwaacha babu na bibi zako unaowajua kupitia ukoo wako?
Asiye sawa ni wewe uliyeshindwa kuelewa nilichoandika wapo waliosawa na wameelewaMkuu umepatwa na nini mbona kama hauko sawa
Asiye sawa ni wewe uliyeshindwa kuelewa nilichoandika wapo waliosawa na wameelewa
Ni uvivu tu wa kufikiri na kutambua kuwa KUAMINI kitu ni mashaka badala yake ni KUJUA ni kujua kitu.
Waafrika wengi wamepotoshwa kuwa kuna kumwamini yesu na muhamadi ambao ni njia ya kwenda kwa Mungu.
Inakuaje uamini kitu ambacho hukijui iwapo tunaamini kuna kufa kwa sababu tunajua watu wanakufa,tunaamini baba na mama kwa sababu wanatuzaa,nk.
Unaaminije katika yesu na muhamadi wakati huwajui na kuwaacha babu na bibi zako unaowajua kupitia ukoo wako?
Hata mi sijaelewa alichokiandika kabisaaMkuu umepatwa na nini mbona kama hauko sawa
Siyo rahisi kuelewa kwani siyo kwaajili yako ila walioandikiwa wameelewa.Hata mi sijaelewa alichokiandika kabisaa
Sawa ndugu.Siyo rahisi kuelewa kwani siyo kwaajili yako ila walioandikiwa wameelewa