Ni Kweli ukiwa umelala usiku na ukamka Asubuhi ukakuta kwenye nywele zako au ndevu zako zimenyolewa itakuwa wewe umenyolewa na wachawiwakati wa usiku umelala. Sasa unakataaa nini wakati ulipo lala kwani ulimwita kinyozi aje kukunyowa nywele zako Mkuu enstein1 Ukiamini au kutokuamini hilo ni shauri yako mwenyewe.Kuna watu inatutokea unaamka asubuhi na kukuta sehemu ya nywele kiachwani au kidevu ghafla zimenyolewa kwa mtindo wa Ki/vishilingi an nywele huchelewa sana kuota tena. Hii kisayasansi inasababishwa na nini? Kuna watu wanasema uchawi lakini sipendi sana kuamini hilo!
Majibu tafadhali!
Kuna watu inatutokea unaamka asubuhi na kukuta sehemu ya nywele kiachwani au kidevu ghafla zimenyolewa kwa mtindo wa Ki/vishilingi an nywele huchelewa sana kuota tena. Hii kisayasansi inasababishwa na nini? Kuna watu wanasema uchawi lakini sipendi sana kuamini hilo!
Majibu tafadhali!
si bora kichwani kuna swahiba wangu mmoja huko ukerewe aliamka asubuhi akakuta uvuzi wote umefyekwa.alikuwa bwana shamba mbona alikimbia kituo cha kazi
si bora kichwani kuna swahiba wangu mmoja huko ukerewe aliamka asubuhi akakuta uvuzi wote umefyekwa.alikuwa bwana shamba mbona alikimbia kituo cha kazi
Duh! Duniani kuna mikasa eh! Unaamka unajikuta na mashilingi kichwani? Dah! Haiya, ngoja tusubiri maelezo ya kitaalamu. Hii mpya kwangu, sijawahi isikia.
si bora kichwani kuna swahiba wangu mmoja huko ukerewe aliamka asubuhi akakuta uvuzi wote umefyekwa.alikuwa bwana shamba mbona alikimbia kituo cha kazi
Akawahi kwa kupiga Ramli wakati Serikali imepiga Marufuku mambo ya Ramli aende Hospitali akapigiwe Ramli ya Ki-Hospitali labda Ma-Daktari wataweza kumtibu huko.utakuwa umerogwa tu..hao ni wachawi..wahi kwenye ramli...
Akawahi kwa kupiga Ramli wakati Serikali imepiga Marufuku mambo ya Ramli aende Hospitali akapigiwe Ramli ya Ki-Hospitali labda Ma-Daktari wataweza kumtibu huko.
Sipendi kuamini uchawi hata kama upo.
wewe subiri ukilogwa ndo utaamini kuwa uchawi unafanya kazi. Hv ww hawa wanaoteka albino unafikiri ni watu wadogo. Lazma uwe fisadi ndo unaweza huyo unyama..